Yuko wapi Nyani Ngabu?

Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..huyu mkuu baada ya kumfunguLia uzi Shunie .." Shunie sasa waweza jiita Mr.Genta....

bahati mbaya shunie naye akafungua uzi " Kwa Davet Wangu" ..

Daaahhh mkuu Genta akapotea!!!....bado nawakumbusha ,usimfungulie uzi mwanamke wa JF km huna uhakika wa mahusiano yake
Hahahaahah kwa hiyo Genta aliaibika eee [emoji23][emoji23][emoji23] putin nimekudharau naomba umuache Genta wetu mi na Shunie
 
Nooo hajaabika nahuo ndo uanamme kua wazi kwa feelings , unajua mtu anayekupenda mbele ya machobya wengi HE IS A REALLY ONE !!!

Sema kuna mambo kidogo aliyakosea, mkuu genta alijipa sifa sanaa nyingi ,sasa mademu huwa hawapendi watu wa masifa !!

Sema Shunie ipo siku. ......
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..huyu mkuu baada ya kumfunguLia uzi Shunie .." Shunie sasa waweza jiita Mr.Genta....

bahati mbaya shunie naye akafungua uzi " Kwa Davet Wangu" ..

Daaahhh mkuu Genta akapotea!!!....bado nawakumbusha ,usimfungulie uzi mwanamke wa JF km huna uhakika wa mahusiano yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nooo hajaabika nahuo ndo uanamme kua wazi kwa feelings , unajua mtu anayekupenda mbele ya machobya wengi HE IS A REALLY ONE !!!

Sema kuna mambo kidogo aliyakosea, mkuu genta alijipa sifa sanaa nyingi ,sasa mademu huwa hawapendi watu wa masifa !!

Sema Shunie ipo siku. ......
Hivi mima yupo wapi
Na kapeace na shemeji yako Adolay
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom