Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Nadhani case closed nasubiria ya live tupimane ubavu humu jf hata kibao huwezi piga mtu
Ongeeni mengine basi hata ya kwenu,acheni umbea
[emoji57] [emoji23] [emoji23] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] umbea hatuachi ng'odooo!!!
 
Tatizo ninyi mnajuana sanaaaaa!

Wala!

Nakuhakikishia hatujuani kihivyo na nakuhakikishia hakuna ukweli hapo hata asilimia 1.

Anayenijua hawezi kusema mimi ni form 4.

Anayenijua hawezi kusema sina kwangu.

Anayenijua hawezi kudai nina mtoto mkubwa mwenye kuweza kuwa na mtoto.

Wanaojua hawasemi na wanaosema hawajui.

Ila moyo wangu umesuuzika sana. Kazi behind the scene imelipa.

Hayo mengineyo ni mazungumzo baada ya habari.

I’m super happy today. Kilichobaki ni kutekekeza tu sasa.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…