witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Kwani bado unaliendeleza? Naona kama umeridhika na roho yako!Wala!
Nakuhakikishia hatujuani kihivyo na nakuhakikishia hakuna ukweli hapo hata asilimia 1.
Anayenijua hawezi kusema mimi ni form 4.
Anayenijua hawezi kusema sina kwangu.
Anayenijua hawezi kudai nina mtoto mkubwa mwenye kuweza kuwa na mtoto.
Wanaojua hawasemi na wanaosema hawajui.
Ila moyo wangu umesuuzika sana. Kazi behind the scene imelipa.
Hayo mengineyo ni mazungumzo baada ya habari.
I’m super happy today. Kilichobaki ni kutekekeza tu sasa.
Yaaan uko deep happy!