Kwani bado unaliendeleza? Naona kama umeridhika na roho yako!Wala!
Nakuhakikishia hatujuani kihivyo na nakuhakikishia hakuna ukweli hapo hata asilimia 1.
Anayenijua hawezi kusema mimi ni form 4.
Anayenijua hawezi kusema sina kwangu.
Anayenijua hawezi kudai nina mtoto mkubwa mwenye kuweza kuwa na mtoto.
Wanaojua hawasemi na wanaosema hawajui.
Ila moyo wangu umesuuzika sana. Kazi behind the scene imelipa.
Hayo mengineyo ni mazungumzo baada ya habari.
I’m super happy today. Kilichobaki ni kutekekeza tu sasa.
Kawaida yetu tuwaache. Mfyuuuuuuu. Mchana tunakuangazia usiku tunakuchomaKuna wengine humu wanaaafiki tu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]hovyooooo
Heeeeeeee?...ulikuwa wapi mamitooo?Wewe tena. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] mchana watu usiku wanga suguKwani bado unaliendeleza? Naona kama umeridhika na roho yako!
Yaaan uko deep happy!
Kawaida yetu tuwaache. Mfyuuuuuuu. Mchana tunakuangazia usiku tunakuchoma
Eeh atwambie ukweli![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji108]
Nipo. Nakuona ulichokisema tusikifanye leo wakifanya wewe. Binadamu mna shida sanaHausikiki mrembo
Umeona eeehhEeh atwambie ukweli!
Kiranga is a singularity.Respect that fact.Nyani Ngabu yupo amejaa tele .Anatumia jina la Kiranga
Nilikua busy kidogo natafuta diaper za dogo si unajua single mom tena [emoji23][emoji23][emoji23]Sijui kapotelea wapi?
Cc.mzigua90
Umeeelewa?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]najuaaaa!!!!huogopi kukosa wachumbaaNilikua busy kidogo natafuta diaper za dogo si unajua single mom tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ni[emoji91] [emoji91] [emoji91]Jf inatisha.
Hatujakamilika msamaha wa bure tafadhaliNipo. Nakuona ulichokisema tusikifanye leo wakifanya wewe. Binadamu mna shida sana
Unantafuta umbea eedehhh!!!Umeeelewa?
Haaahaaa....lile sofa hapana aseeUtakuta km hiloo
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ameleta uzi kwa malengo mahsusi@RRONDO hana mautoto utoto ya kutaka watu wavuane ngup kwenye nyuzi
Nimeshindwa niandike nini.
But this ain't healthy to both of you.
You are way better than this.