Haaahaaa....kweli kabisa jf sio ya kumuamini mtuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]hehe.... hapa utakuta umevaa zako dela reefu upo vingunguti unakuna naziiii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwa mtogole mkuunipo serious... unakaa wapi wewe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usinisemee nimkwaza my grandpaaa looohh!najutaa hapa naugulia tuuunimekushindwa atakayekuweza ni Asprin tu.
Hamjui huyu ndo maana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona humfahamu RRONDO wewe, huyu ni mlipua mabomu wa siri, anakuua huku akicheka kama JK
Silent killer yule!Naona humfahamu RRONDO wewe, huyu ni mlipua mabomu wa siri, anakuua huku akicheka kama JK
Donnnnn....!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzigua mtoe mchumba wakooo
Kuna watu hawamfahamu Rrondo, huyu jamaa nimemsoma sana, ukiweza kuepuka madhara fanya hivyo, ukienda kichwakichwa manundu yanakuhusu.Silent killer yule!
I know, out of desperation one can come up with any jibe, be it true or not.
But you can deal these out of JF, burry the hatchet and move on sideways.
Keshooo!!!Nije lini kufuturu?
Unaakili sana SHAMMA!Kuna watu hawamfahamu Rrondo, huyu jamaa nimemsoma sana, ukiweza kuepuka madhara fanya hivyo, ukienda kichwakichwa manundu yanakuhusu.
HIVI
RRONDO hakujua kuwa Nyani Ngabu kapigwa ban!! alijua vyema bali ameleta kwa malengo mahususi ayajuayo yeye.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna watu hawamfahamu Rrondo, huyu jamaa nimemsoma sana, ukiweza kuepuka madhara fanya hivyo, ukienda kichwakichwa manundu yanakuhusu.
HIVI
RRONDO hakujua kuwa Nyani Ngabu kapigwa ban!! alijua vyema bali ameleta kwa malengo mahususi ayajuayo yeye.
Lkn mimi nakuamini sanaHaaahaaa....kweli kabisa jf sio ya kumuamini mtuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo Mimi huyo sasa hivi nimevaa dera,nipo vingunguti hapa habari sinaaahehe.... hapa utakuta umevaa zako dela reefu upo vingunguti unakuna naziiii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu huyo ni dadangu mlete mahari kabla ya kufuturishanaNije lini kufuturu?
Haaahaaa we si unanijua!Lkn mimi nakuamini sana
Wapo waungwana humuu mbonaHaaahaaa....kweli kabisa jf sio ya kumuamini mtuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
watu wana fix hatari... atakuambia nipo Seacliff.... kumbe ndiyo yupo bar anahudumia vinywaji.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo Mimi huyo sasa hivi nimevaa dera,nipo vingunguti hapa habari sinaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo Mimi huyo sasa hivi nimevaa dera,nipo vingunguti hapa habari sinaaa
Afadhali ...haya mambo yaishe tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpe khabariMkuu huyo ni dadangu mlete mahari kabla ya kufuturishana