Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Ila uliweka picha za Dina?na ukatumia Jina la ukoo wa Dina kufungua I'd jf?
Why?!!!my brother(am sorry nakukubali sana hapa jf)let me call u this...nashukuru Leo nakuuliza hapa!

Jina gani la ukoo wake? Mimi siujui ukoo wake. Kwao sijawahi kufika. Kwetu hajawahi kufika.

Maishani mwangu nimeonana naye mara mbili tu. Tena hiyo mara ya pili ni baada ya yeye kung’ang’ana anione.

Mamake simjui. Babake simjui. Yeye mwenyewe simjui vizuri. Naye hanijui vizuri.

Sasa ni jina gani la ukoo wake nililotumia?

Nimeshawahi kutumia jina la Richard Mugizi humu. Kwa idadi ya wanachama waliopo JF inawezekana kweli wapo akina Mugizi.

Hivyo ni marufuku mtu kutumia hilo jina kisa mtu atalalamika jina lake la ukoo limetumika?

Unasema watu ni wanafiki humu, siyo? Je, wewe umemuuliza huyo takataka ni kwa nini alikuwa anazungusha picha ya marehemu baba yangu huko PM? Mpaka nikamuuliza Don Cle naye akathibitisha ni kweli kuwa huyo takataka alimfuata PM na kumwonyesha picha akitaka ajue huyo mzee anaitwa nani [hajui mpaka leo....anabahatisha tu].

Vibaya mimi kutumia jina ambalo unadai ni la ukoo wake but it’s okay yeye kuzungusha picha ya mzazi aliye marehemu??? Ulikuwa unayajua hayo?

So don’t even go there my sister. Unapozungumzia unafiki hebu tafuta kwanza kioo ujiangalie.....
 
No no no Nkya, hujanisoma, ninamaanisha kuwa alilokusudia yeye amelifikisha bila kujali uhalisia wake.
Jf huwa naona ni kijiwe cha kupigia soga zisizo na ukweli.
Huna haja ya kutumia nguvu kubwa mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…