[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana natamani sakayo angeonaAu ndo umerisi kwa babu yako?
Asante maaMe too..karibuu
No no no Nkya, hujanisoma, ninamaanisha kuwa alilokusudia yeye amelifikisha bila kujali uhalisia wake.
Jf huwa naona ni kijiwe cha kupigia soga zisizo na ukweli.
Huna haja ya kutumia nguvu kubwa mkuu
Ndo yale majina ya Julius maghembe?Another questions
Why?!!!!!
Alitumia jina la mzazi wa Dina kufungua I'd yake jf...!?????
Alishawahi kutuma picha za nifah humu jf!?!!
What do u think
NN namkubali sana hata Mimi ameniangusha mnoo!!
Nashukuru nimepata nafasi kumuuliza leo(sisi wengine)tunamfatilia haswaa zile busara zake
LiarRight here baby....
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] whyKapigwa ban
Nataka kuteta nawe kama hutojaliGot you bruh!
Be easy.
Waooooh miss u my kakaMissed you
We mbona huwaga muwazi....unaficha nini huko pm?
Yaan jus kujibu why uliweka avatar ya dina kwenye ID yako unataka ujibie pm!
Khaaa! Umeniangusha asee
Acha umaraya ina maana sikutoshi au? Mscheewwwwwnina mpango wa kumla sijui atanipa lini.....udomo zege unanisumbua maana hata wewe nakutaka.
Hayaaa makubwa!Jina gani la ukoo wake? Mimi siujui ukoo wake. Kwao sijawahi kufika. Kwetu hajawahi kufika.
Maishani mwangu nimeonana naye mara mbili tu. Tena hiyo mara ya pili ni baada ya yeye kung’ang’ana anione.
Mamake simjui. Babake simjui. Yeye mwenyewe simjui vizuri. Naye hanijui vizuri.
Sasa ni jina gani la ukoo wake nililotumia?
Nimeshawahi kutumia jina la Richard Mugizi humu. Kwa idadi ya wanachama waliopo JF inawezekana kweli wapo akina Mugizi.
Hivyo ni marufuku mtu kutumia hilo jina kisa mtu atalalamika jina lake la ukoo limetumika?
Unasema watu ni wanafiki humu, siyo? Je, wewe umemuuliza huyo takataka ni kwa nini alikuwa anazungusha picha ya marehemu baba yangu huko PM? Mpaka nikamuuliza Don Cle naye akathibitisha ni kweli kuwa huyo takataka alimfuata PM na kumwonyesha picha akitaka ajue huyo mzee anaitwa nani [hajui mpaka leo....anabahatisha tu].
Vibaya mimi kutumia jina ambalo unadai ni la ukoo wake but it’s okay yeye kuzungusha picha ya mzazi aliye marehemu??? Ulikuwa unayajua hayo?
So don’t even go there my sister. Unapozungumzia unafiki hebu tafuta kwanza kioo ujiangalie.....
Niko busy jamani. Naumia kweli yaniSiamini kama Mzigua90 huu uzi hauoni?
Eti Dina?
@sakayo naye sijui amekuwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana natamani sakayo angeona
This is absurd!...can't get enough![emoji15] [emoji15]Yesssss!!!this was it!!!
Jus wear Dina shoes.....come into conclusion!!!!
Umeelewa nini?Nshamuelewa mdaaa
Sasa hapo ndipo ulipokosea kaka angu!haijalishi mfano I know you and you know me!!Jina gani la ukoo wake? Mimi siujui ukoo wake. Kwao sijawahi kufika. Kwetu hajawahi kufika.
Maishani mwangu nimeonana naye mara mbili tu. Tena hiyo mara ya pili ni baada ya yeye kung’ang’ana anione.
Mamake simjui. Babake simjui. Yeye mwenyewe simjui vizuri. Naye hanijui vizuri.
Sasa ni jina gani la ukoo wake nililotumia?
Nimeshawahi kutumia jina la Richard Mugizi humu. Kwa idadi ya wanachama waliopo JF inawezekana kweli wapo akina Mugizi.
Hivyo ni marufuku mtu kutumia hilo jina kisa mtu atalalamika jina lake la ukoo limetumika?
Unasema watu ni wanafiki humu, siyo? Je, wewe umemuuliza huyo takataka ni kwa nini alikuwa anazungusha picha ya marehemu baba yangu huko PM? Mpaka nikamuuliza Don Cle naye akathibitisha ni kweli kuwa huyo takataka alimfuata PM na kumwonyesha picha akitaka ajue huyo mzee anaitwa nani [hajui mpaka leo....anabahatisha tu].
Vibaya mimi kutumia jina ambalo unadai ni la ukoo wake but it’s okay yeye kuzungusha picha ya mzazi aliye marehemu??? Ulikuwa unayajua hayo?
So don’t even go there my sister. Unapozungumzia unafiki hebu tafuta kwanza kioo ujiangalie.....
wewe mwanamke nimekushindwa....Acha umaraya ina maana sikutoshi au? Mscheewwwww
Maswali yangu mengine umeyaona?