Yuko wapi Nyani Ngabu?

Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
No no no Nkya, hujanisoma, ninamaanisha kuwa alilokusudia yeye amelifikisha bila kujali uhalisia wake.
Jf huwa naona ni kijiwe cha kupigia soga zisizo na ukweli.
Huna haja ya kutumia nguvu kubwa mkuu

Got you bruh!

Be easy.
 
Another questions
Why?!!!!!
Alitumia jina la mzazi wa Dina kufungua I'd yake jf...!?????
Alishawahi kutuma picha za nifah humu jf!?!!

What do u think

NN namkubali sana hata Mimi ameniangusha mnoo!!
Nashukuru nimepata nafasi kumuuliza leo(sisi wengine)tunamfatilia haswaa zile busara zake
Ndo yale majina ya Julius maghembe?
 
Jina gani la ukoo wake? Mimi siujui ukoo wake. Kwao sijawahi kufika. Kwetu hajawahi kufika.

Maishani mwangu nimeonana naye mara mbili tu. Tena hiyo mara ya pili ni baada ya yeye kung’ang’ana anione.

Mamake simjui. Babake simjui. Yeye mwenyewe simjui vizuri. Naye hanijui vizuri.

Sasa ni jina gani la ukoo wake nililotumia?

Nimeshawahi kutumia jina la Richard Mugizi humu. Kwa idadi ya wanachama waliopo JF inawezekana kweli wapo akina Mugizi.

Hivyo ni marufuku mtu kutumia hilo jina kisa mtu atalalamika jina lake la ukoo limetumika?

Unasema watu ni wanafiki humu, siyo? Je, wewe umemuuliza huyo takataka ni kwa nini alikuwa anazungusha picha ya marehemu baba yangu huko PM? Mpaka nikamuuliza Don Cle naye akathibitisha ni kweli kuwa huyo takataka alimfuata PM na kumwonyesha picha akitaka ajue huyo mzee anaitwa nani [hajui mpaka leo....anabahatisha tu].

Vibaya mimi kutumia jina ambalo unadai ni la ukoo wake but it’s okay yeye kuzungusha picha ya mzazi aliye marehemu??? Ulikuwa unayajua hayo?

So don’t even go there my sister. Unapozungumzia unafiki hebu tafuta kwanza kioo ujiangalie.....
Hayaaa makubwa!

Ila nilichogundua nyie bado mnapendana tena sana!

I rest my case....tafutaneni muombane misamaha tuje kula pilau la harusi!
 
Jina gani la ukoo wake? Mimi siujui ukoo wake. Kwao sijawahi kufika. Kwetu hajawahi kufika.

Maishani mwangu nimeonana naye mara mbili tu. Tena hiyo mara ya pili ni baada ya yeye kung’ang’ana anione.

Mamake simjui. Babake simjui. Yeye mwenyewe simjui vizuri. Naye hanijui vizuri.

Sasa ni jina gani la ukoo wake nililotumia?

Nimeshawahi kutumia jina la Richard Mugizi humu. Kwa idadi ya wanachama waliopo JF inawezekana kweli wapo akina Mugizi.

Hivyo ni marufuku mtu kutumia hilo jina kisa mtu atalalamika jina lake la ukoo limetumika?

Unasema watu ni wanafiki humu, siyo? Je, wewe umemuuliza huyo takataka ni kwa nini alikuwa anazungusha picha ya marehemu baba yangu huko PM? Mpaka nikamuuliza Don Cle naye akathibitisha ni kweli kuwa huyo takataka alimfuata PM na kumwonyesha picha akitaka ajue huyo mzee anaitwa nani [hajui mpaka leo....anabahatisha tu].

Vibaya mimi kutumia jina ambalo unadai ni la ukoo wake but it’s okay yeye kuzungusha picha ya mzazi aliye marehemu??? Ulikuwa unayajua hayo?

So don’t even go there my sister. Unapozungumzia unafiki hebu tafuta kwanza kioo ujiangalie.....
Sasa hapo ndipo ulipokosea kaka angu!haijalishi mfano I know you and you know me!!

Baadae twakorofishana halafu watumia jina langu Mimi sehemu tofauti it doesn't whether ni Mimi au sio mimi unaenikusudia..

Why now baada ya maugomvi na wala sio mwanzo wa hayo mambo?!!!
Automatically ntahisi umenikusudia miye hata km sio lengo

Wanadamu haijalishi mmeonana Mara ngapi mpk mjuane vzr na kumjua mtu sio mpk chini kumjua baba ake!au mama ake!

Jinaa mzee wake yumkini ulilitoa MPESA pia!

Mara mbili mlizokutana ni nyingi mnoo kwa sababu it wasn't coincidence it was planned so possible mlishaongea mengii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom