[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]hili ndo lililobaki kusemwaaHayaaa makubwa!
Ila nilichogundua nyie bado mnapendana tena sana!
I rest my case....tafutaneni muombane misamaha tuje kula pilau la harusi!
Hapa or pm?Nataka kuteta nawe kama hutojali
NdioThis is absurd!...can't get enough![emoji15] [emoji15]
Sawa kaka tumekuelewa vizuri sanaNimekujibu. Umeona?
Zaidi ya hapo sina jingine. I’m done with this bullshit. My mission is halfway accomplished.
Nyie endeleeni kuamini huo ujinga ujinga. Next time you see me it will be Ngabu the Don Dada.
Deuces.
Kwelii aiseMambo ni[emoji91] [emoji91] [emoji91]
Atachagua yeye but pm patamu zaidi tukipeana makavu.Hapa or pm?
Sasa hapo ndipo ulipokosea kaka angu!haijalishi mfano I know you and you know me!!
Baadae twakorofishana halafu watumia jina langu Mimi sehemu tofauti it doesn't whether ni Mimi au sio mimi unaenikusudia..
Why now baada ya maugomvi na wala sio mwanzo wa hayo mambo?!!!
Automatically ntahisi umenikusudia miye hata km sio lengo
Wanadamu haijalishi mmeonana Mara ngapi mpk mjuane vzr na kumjua mtu sio mpk chini kumjua baba ake!au mama ake!
Jinaa mzee wake yumkini ulilitoa MPESA pia!
Mara mbili mlizokutana ni nyingi mnoo kwa sababu it wasn't coincidence it was planned so possible mlishaongea mengii
Jei efu ina mambo,aheri ya siye tunaoingia kusoma nyuzi,kukomenti na kusepa.
Heee yaaan nimechoka![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]hili ndo lililobaki kusemwaa
Mkuu mbona kuna mabarmaid ambao ni wanawake wa shokanilikuwa namfafanulia madame ufix wa humu bhana....
wewe mwanamke wa shoka....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa kaka tumekuelewa vizuri sana
Hakika, hasa ukutane na akili za kitotokujuana na watu humu kuna madhara yake.lesson learnt.
Mmmh...hebu ulizaneni hapahapa buanaa!Atachagua yeye but pm patamu zaidi tukipeana makavu.
Hapa wambea mko wengi
Siku hizi amekuwa muhenga@sakayo naye sijui amekuwaje
Yaap kuhusu picha yaweza kua amesambaza yeye au hajasambaza yeye!.Umekwepa kuhusu yeye kuzungusha picha ya mzee aliyekwishafariki.
Umekwepa kwa makusudi au hujaona?
Stop taking sides when all you have is one sided bullshit. Kuna mengine mengi tu usiyoyajua.
Na hicho kidogo unachodhani unakijua ni uongo, uzushi, na ujinga ujinga tu.
I’m out for good.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hupendi mambo za pmHapa or pm?
Hivi Don naanzaje kuukataa huo unduguWewe si umesema nikupitie?
Sasa unakataa huu undugu tena!