Yuko wapi Nyani Ngabu?

Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Hayaaa makubwa!

Ila nilichogundua nyie bado mnapendana tena sana!

I rest my case....tafutaneni muombane misamaha tuje kula pilau la harusi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]hili ndo lililobaki kusemwaa
 
Sasa hapo ndipo ulipokosea kaka angu!haijalishi mfano I know you and you know me!!

Baadae twakorofishana halafu watumia jina langu Mimi sehemu tofauti it doesn't whether ni Mimi au sio mimi unaenikusudia..

Why now baada ya maugomvi na wala sio mwanzo wa hayo mambo?!!!
Automatically ntahisi umenikusudia miye hata km sio lengo

Wanadamu haijalishi mmeonana Mara ngapi mpk mjuane vzr na kumjua mtu sio mpk chini kumjua baba ake!au mama ake!

Jinaa mzee wake yumkini ulilitoa MPESA pia!

Mara mbili mlizokutana ni nyingi mnoo kwa sababu it wasn't coincidence it was planned so possible mlishaongea mengii

Umekwepa kuhusu yeye kuzungusha picha ya mzee aliyekwishafariki.

Umekwepa kwa makusudi au hujaona?

Stop taking sides when all you have is one sided bullshit. Kuna mengine mengi tu usiyoyajua.

Na hicho kidogo unachodhani unakijua ni uongo, uzushi, na ujinga ujinga tu.

I’m out for good.
 
nilikuwa namfafanulia madame ufix wa humu bhana....

wewe mwanamke wa shoka....
Mkuu mbona kuna mabarmaid ambao ni wanawake wa shoka

Kuna mmoja najua kajenga bonge la nyumba chanika na ana watoto wawili wapo shule nzur sana
 
Umekwepa kuhusu yeye kuzungusha picha ya mzee aliyekwishafariki.

Umekwepa kwa makusudi au hujaona?

Stop taking sides when all you have is one sided bullshit. Kuna mengine mengi tu usiyoyajua.

Na hicho kidogo unachodhani unakijua ni uongo, uzushi, na ujinga ujinga tu.

I’m out for good.
Yaap kuhusu picha yaweza kua amesambaza yeye au hajasambaza yeye!.
How far do u sure she was the one duin that stupidity!!

Am not serious taking anybody's side broh!jus wanna know a little I heard!!!

Kumbuka humu wengi wanakujua wewe!!yawezekana wao ndo wamefanya hivyo pia ili kukugombanisha na Dina kwa sababu tayari mna quarrels u know!!!

Na kama amefanya hvyo yeye ngoja nimuulize pia hapa!!

Am sorry pia coz I do appreciate u!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom