Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Rebecca umemalizaa
 
[emoji23] [emoji23] eti yule ndo yeyee hapana bwana mwingine huyoo

Off course inaumiza haswaa mtu kukuweka sura yako hapa jf mbela za hadhara ila ndo ilishatokea sasa!
Kumsamehe tu
 
Yaishe haya mambo yaishe!kila mtu na life lake baaasi no need tena!!

Sasa hivi sisi wote ni watu wazima humu above 18 NN I do respect u,Dina is my girl pia..

Whatever happens vinanikwaza as a human being
Dada fumbaf, umeshiba umbea ndo akili imerejea?[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Safi sana tuwaunganishe hawa watu amani itawale
 
Nyani ngabu kasema wadada wa jf hawabaki wanampelekea wenyewe k!

We haupo ungekuwa ushatajwa!
Weee!sio hao tu!I remain to stay silent sweetie....!!!na usije PM nimefunga upooo!!
Watu wamekimbia I'd humuu!wasiotajwa hawajanusurika!
 

True, na niko involved kwa kiasi Fulani, ndo maana nikaona ni busara ninyi watu kuongea nje.

Lakini kinachoonekana ni kwamba huu ugomvi wenu hautaisha kupitia kwa watu, ni ninyi tu mtakao amua kuumaliza.
 
True, na niko involved kwa kiasi Fulani, ndo maana nikaona ni busara ninyi watu kuongea nje.

Lakini kinachoonekana ni kwamba huu ugomvi wenu hautaisha kupitia kwa watu, ni ninyi tu mtakao amua kuumaliza.
Mmhhh!!![emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli lakini Wamalizane tuu!hakuna namnaa!au wapeane gudbai kisses...halafu waachane
 
Nasikitika sana kwa jinsi Uzi huu ulivyotapanya maneno na kashfa kwa kila upande, Japo lengo la malumbano haya sio wazi kuwa ni kutatua mgogoro ila inaonekana sasa ni sehemu ya kupakana matope ili kila upande uoneshe kuwa uko sawa.

NN mimi sikujua kama una ID nyingine hapa JF ila kadri nilivyosoma huu uzi nimepata kuligundua hilo lakini nimepata kukushusha sana kama Mwanaume ni vyema sana ungekubali kumaliza haya malumbano, NN unaweza kuona mchango wako humu JF hauna mashiko ila haujui ni watu wangapi umepata kuwashawishi kupitia Nyuzi zako mbalimbali je hawa watu waliokuwa wanakuheshimu au ambao wanakuheshimu hadi sasa huoni nao unazidi kuwavua nguo kwa kitu kidogo ambacho kingekuwa kimekimaliza tayari?.

Dina nawe pia unawakilisha wanawake wengi humu JF ni vyema ukinyamaza ili kufukuza nzi ambao wamejaa kwenye mzoga (Nyie wawili mkinyamaza huu uzi utakoma) sio vyema kwa hili lifanyikalo hapa kwani wanaume na wanawake wote wa JF wanavuliwa nguo hasa ukijaalisha hapa panatambulika kama Home of GT leo hii sisi wageni wa JF hatupati picha nzuri tukiona huu mtifuano ukiendelea ni vyema ukafika kikomo.

Nyani Ngabu Hebu kaa kimya usidhalilishe utu wa Dina na Utu wako pia kuna leo na kesho duniani tunaishi kwa kutegemea.

Nisameheni kama yatakuwa yamekwaza mtu maneno yangu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…