Yuko wapi Nyani Ngabu?

Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Wadada gani wa JF?

Acheni kulishana uongo na uzushi bana!

What now? I’m a rapist? Huwa nawabaka? Gee whiz.

Nina uhakika yote hayo unayodai yanasemwa ni uzushi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huwabaki they r coming with their conscious mind ila ukishamaliza unawasambaza sasaa!hapo ndo unaharibu!!huna sirii

Kula kimya kimyaa!
 
It’s all good.

Nothing there is true.

It’s all sensationalism.

Just think for a minute. Do you actually think I have an old enough daughter who herself is of child bearing age? And that I’m hiding her? Can you hide a human being? Let alone your own flesh and blood?

Do you actually believe that I am a form four leaver?

I mean, come on now.....

Stuff like that don’t bother me one bit because it’s 100% calumny.
Ila na wewe msukuma si uachane na haya mambo?? Hivi hasira gani hizo hammalizi mioyoni mwenu? Embu yapite jamani.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huwabaki they r coming with their conscious mind ila ukishamaliza unawasambaza sasaa!hapo ndo unaharibu!!huna sirii

Kula kimya kimyaa!

Unaona sasa!

Ndo maana nasema mnalishana uzushi.

Wanaojua hawasemi na wanaosema hawajui.

Na hao wa wanaojua wakiwasoma nyie mnavyolishana uzushi wanacheka sana.

Na hao wanaojua wapo hapa wanasoma na wamejikalia kimya tu na tunaheshimiana sana.

Knowledge is power.
 
Dinazarde na Nyani ngabu, acheni upumbavu huu, nyie mmekulana na mlikiri hapa wenyewe, hiki kinachoendelea sio tu kinawashusha ninyi nyote bali kinadhalilisha UTU wenu.
Malizaneni tofauti zenu hazina TIJA.
watu sio wajinga wanaona huu ni upuuzi, sababu watu tunapenda umbea na kupata cha kusimulia, tumechochea mgogoro usio na tija yoyote.
Dina sikujui wala Ngabu sikujui.
Pliz acheni haya yapite kama upepo,
Mwombane msamaha yapiteee amani itawala japo sio lazima kurudisha uhusiana
Henry Nkya
Tuwasuluhishe hawa hapa hapa..

Hakuna cha pm wala nini!

Eti Gen?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom