Na we uko na list eenhKumbe mimi mshamba aisee.
Tangu nijue haya mambo naona aibu kutamka nimetoka na flani
Ndio mana nakupenda mmNasikitika sana kwa jinsi Uzi huu ulivyotapanya maneno na kashfa kwa kila upande, Japo lengo la malumbano haya sio wazi kuwa ni kutatua mgogoro ila inaonekana sasa ni sehemu ya kupakana matope ili kila upande uoneshe kuwa uko sawa.
NN mimi sikujua kama una ID nyingine hapa JF ila kadri nilivyosoma huu uzi nimepata kuligundua hilo lakini nimepata kukushusha sana kama Mwanaume ni vyema sana ungekubali kumaliza haya malumbano, NN unaweza kuona mchango wako humu JF hauna mashiko ila haujui ni watu wangapi umepata kuwashawishi kupitia Nyuzi zako mbalimbali je hawa watu waliokuwa wanakuheshimu au ambao wanakuheshimu hadi sasa huoni nao unazidi kuwavua nguo kwa kitu kidogo ambacho kingekuwa kimemalizika tayari?.
Dina nawe pia unawakilisha wanawake wengi humu JF ni vyema ukinyamaza ili kufukuza nzi ambao wamejaa kwenye mzoga (Nyie wawili mkinyamaza huu uzi utakoma) sio vyema kwa hili lifanyikalo hapa kwani wanaume na wanawake wote wa JF wanavuliwa nguo hasa ukijaalisha hapa panatambulika kama Home of GT leo hii sisi wageni wa JF hatupati picha nzuri tukiona huu mtifuano ukiendelea ni vyema ukafika kikomo.
Nyani Ngabu Hebu kaa kimya usidhalilishe utu wa Dina na Utu wako pia kuna leo na kesho duniani tunaishi kwa kutegemea.
Nisameheni kama yatakuwa yamekwaza mtu maneno yangu.
Shunie hapa, au nilikutokea na wewe mrembo?Na we uko na list eenh
Hapana unaheshimu hisia za mtuKumbe mimi mshamba aisee.
Tangu nijue haya mambo naona aibu kutamka nimetoka na flani
Ninamwonea wivu, mpe hongeraasante,yupo humu humu theriogenology ....
[emoji848] [emoji848] [emoji848] Sitaki tena PM zako na wewe na siku tukianza na sisi hapa hapatatosha.Ndio mana nakupenda mm
Nimekupenda bure japo umeongea baada kupata umbea wote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasikitika sana kwa jinsi Uzi huu ulivyotapanya maneno na kashfa kwa kila upande, Japo lengo la malumbano haya sio wazi kuwa ni kutatua mgogoro ila inaonekana sasa ni sehemu ya kupakana matope ili kila upande uoneshe kuwa uko sawa.
NN mimi sikujua kama una ID nyingine hapa JF ila kadri nilivyosoma huu uzi nimepata kuligundua hilo lakini nimepata kukushusha sana kama Mwanaume ni vyema sana ungekubali kumaliza haya malumbano, NN unaweza kuona mchango wako humu JF hauna mashiko ila haujui ni watu wangapi umepata kuwashawishi kupitia Nyuzi zako mbalimbali je hawa watu waliokuwa wanakuheshimu au ambao wanakuheshimu hadi sasa huoni nao unazidi kuwavua nguo kwa kitu kidogo ambacho kingekuwa kimekimaliza tayari?.
Dina nawe pia unawakilisha wanawake wengi humu JF ni vyema ukinyamaza ili kufukuza nzi ambao wamejaa kwenye mzoga (Nyie wawili mkinyamaza huu uzi utakoma) sio vyema kwa hili lifanyikalo hapa kwani wanaume na wanawake wote wa JF wanavuliwa nguo hasa ukijaalisha hapa panatambulika kama Home of GT leo hii sisi wageni wa JF hatupati picha nzuri tukiona huu mtifuano ukiendelea ni vyema ukafika kikomo.
Nyani Ngabu Hebu kaa kimya usidhalilishe utu wa Dina na Utu wako pia kuna leo na kesho duniani tunaishi kwa kutegemea.
Nisameheni kama yatakuwa yamekwaza mtu maneno yangu.
MfyuuuuuuuWachumba wa wapi?? JF?? Huku mtaani kwenyewe nawakimbia ndo ntafute humu?
Pua lako kama la Nyani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijapata kujua lolote.Nimekupenda bure japo umeongea baada kupata umbea wote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usije thtakiiiiiNakuja mm [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kumbeee[emoji848] [emoji848] [emoji848] Sitaki tena PM zako na wewe na siku tukianza na sisi hapa hapatatosha.
Ebu uko mxxieew[emoji108] [emoji108] [emoji57] [emoji57] [emoji57] hebu acha umbea shunii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umesahu eeehh!!ulivyoshadadia umbeaa[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] na wit wakooo!!Pua lako kama la Nyani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijapata kujua lolote.
Shunie ona wambea wetu wanaotaka siku moja PM zetu ziwe tupu [emoji23] [emoji23] [emoji23].[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kumbeee
We na deo mnajitoa akiliiEbu uko mxxieew
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kumbeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848] [emoji848] [emoji848] Sitaki tena PM zako na wewe na siku tukianza na sisi hapa hapatatosha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si ndio unachokitaka hiko badamu batamwagikaShunie ona wambea wetu wanaotaka siku moja PM zetu ziwe tupu [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Mwendo ule ule hakuna kuanika mchele kwenye Broiler [emoji23] [emoji23] [emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Deo kisandu kaka akee DinaWe na deo mnajitoa akilii