Yuko wapi Nyani Ngabu?

Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Nasikitika sana kwa jinsi Uzi huu ulivyotapanya maneno na kashfa kwa kila upande, Japo lengo la malumbano haya sio wazi kuwa ni kutatua mgogoro ila inaonekana sasa ni sehemu ya kupakana matope ili kila upande uoneshe kuwa uko sawa.

NN mimi sikujua kama una ID nyingine hapa JF ila kadri nilivyosoma huu uzi nimepata kuligundua hilo lakini nimepata kukushusha sana kama Mwanaume ni vyema sana ungekubali kumaliza haya malumbano, NN unaweza kuona mchango wako humu JF hauna mashiko ila haujui ni watu wangapi umepata kuwashawishi kupitia Nyuzi zako mbalimbali je hawa watu waliokuwa wanakuheshimu au ambao wanakuheshimu hadi sasa huoni nao unazidi kuwavua nguo kwa kitu kidogo ambacho kingekuwa kimemalizika tayari?.

Dina nawe pia unawakilisha wanawake wengi humu JF ni vyema ukinyamaza ili kufukuza nzi ambao wamejaa kwenye mzoga (Nyie wawili mkinyamaza huu uzi utakoma) sio vyema kwa hili lifanyikalo hapa kwani wanaume na wanawake wote wa JF wanavuliwa nguo hasa ukijaalisha hapa panatambulika kama Home of GT leo hii sisi wageni wa JF hatupati picha nzuri tukiona huu mtifuano ukiendelea ni vyema ukafika kikomo.

Nyani Ngabu Hebu kaa kimya usidhalilishe utu wa Dina na Utu wako pia kuna leo na kesho duniani tunaishi kwa kutegemea.

Nisameheni kama yatakuwa yamekwaza mtu maneno yangu.
Ndio mana nakupenda mm
 
Nasikitika sana kwa jinsi Uzi huu ulivyotapanya maneno na kashfa kwa kila upande, Japo lengo la malumbano haya sio wazi kuwa ni kutatua mgogoro ila inaonekana sasa ni sehemu ya kupakana matope ili kila upande uoneshe kuwa uko sawa.

NN mimi sikujua kama una ID nyingine hapa JF ila kadri nilivyosoma huu uzi nimepata kuligundua hilo lakini nimepata kukushusha sana kama Mwanaume ni vyema sana ungekubali kumaliza haya malumbano, NN unaweza kuona mchango wako humu JF hauna mashiko ila haujui ni watu wangapi umepata kuwashawishi kupitia Nyuzi zako mbalimbali je hawa watu waliokuwa wanakuheshimu au ambao wanakuheshimu hadi sasa huoni nao unazidi kuwavua nguo kwa kitu kidogo ambacho kingekuwa kimekimaliza tayari?.

Dina nawe pia unawakilisha wanawake wengi humu JF ni vyema ukinyamaza ili kufukuza nzi ambao wamejaa kwenye mzoga (Nyie wawili mkinyamaza huu uzi utakoma) sio vyema kwa hili lifanyikalo hapa kwani wanaume na wanawake wote wa JF wanavuliwa nguo hasa ukijaalisha hapa panatambulika kama Home of GT leo hii sisi wageni wa JF hatupati picha nzuri tukiona huu mtifuano ukiendelea ni vyema ukafika kikomo.

Nyani Ngabu Hebu kaa kimya usidhalilishe utu wa Dina na Utu wako pia kuna leo na kesho duniani tunaishi kwa kutegemea.

Nisameheni kama yatakuwa yamekwaza mtu maneno yangu.
Nimekupenda bure japo umeongea baada kupata umbea wote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom