Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Natamani watu wote mngeacha kumtamka Nifah hapa, mnamtonesha, yuko online anafuatilia kimya kimya.Pole pole sana,kumbe siku ile waniambia aliweka picha za watu jukwaani na wewe mmojawao?sasa nimeelewa this time na g unabana mpaka password,pole my dia as a woman naelewa uliyopitia mpaka jina la ukoo kaliweka?huyo ni mwenzetu tu kutoka mavumbini sio wa kishua as he claim,ila nawewe dina ngoja nikuchambe hukuona aina ya mtu kama huyo mpaka mkawa wapenzi?nmtu jukwaani kila siku kujisifia abt himself,kutukana wanawake kila kitu mkorofi yeye,mjuaji yeye,my dia you need to learn about character assasment ili makosa yasijirudie ila nini nlichokupendea hujakimbia id unapambana nae mpaka mwisho na ulimvuruga kavurugika wadada wengine tujifunze kupitia dina,kuna watu leo anakusifia mkipishana tegemea makubwa zaidi ya dinnah,
mtu kama nifah hagombanagi she is always on her own league,nlishtuka kuona picha zake zinasambaa h,aisee kuna watu wanaishi kwa trump ila wanatakiwa wawe wacheza singeli
Plizzz wana jf wote mwacheni huyu dada ameamua kuwa kimya, msameheni bure