Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Natamani watu wote mngeacha kumtamka Nifah hapa, mnamtonesha, yuko online anafuatilia kimya kimya.

Plizzz wana jf wote mwacheni huyu dada ameamua kuwa kimya, msameheni bure
 
Kwangu yashaisha humu. Hakuna cha kweli hata chembe!

Ila nimeishia kucheka na kujifunza mengi mapya kuhusu mimi!

Sikuwa najua kuwa sijijui teh teh teh!

Sina kwangu! Nimeishia form 4, niko babu kabisa, n.k.
Ila nyie mnapenda sana kufaidisha watu. Hivi kitu gani hicho msichoacha kugombana? Kuna watu wanawacheka hatari ambavyo mnagombama maana mlikua team moja kuwakaanga. Halafu nin hicho kisichoisha mnakigombania? Acheni utoto bwana yaishe haya.
Mama anaendesha gari grade A ana mtoto anajisifu jf tajiri hiiiii, siogopi kufa wewe watishe nyau
 
Nilikuwa nasubiri hatua za mwisho kuona Vibamia na Mabwawa hapa ila hiyo hatua imerukwa hadi J5.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani ipo siku...nshaishuhudiaga siku moja!!!

Usiombe mshikaji anasema" nshaku...t.mm.b..a.. wewe"bisha niseme mtu wenyewe sio mtamu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] mkitombana mkimalizana mkae kimya hatutaki upuuzi hapa[emoji125] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Naona umeamua kuniharibua niachike ufurahi mfyuuuu zako
 
Niko siriazi mkuu, kuna mtu hapa haishi kunisimanga anapoona nataniana na ke anajua anatafuna, uwe huru kusema ukweli nipone jmn
Khaaa uko siriazi na nn na wewe ebu uko hapa ni chit chat
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…