Uachike na nani? [emoji23] [emoji23] huogopi kuvuliwa nguo humuu!!!Naona umeamua kuniharibua niachike ufurahi mfyuuuu zako
Nachukia mtu anayejiona wa thamani kuliko wenzake,anayedhalilisha wanawake ukute alitoka huko na miugwadu yake ya kilo moja dina akamsaidi kupunguza halafu analeta maneno mbofumbofuAmu katika ubora wake!!!!
Ebu niacheni uko mnataka nikimbiwe nikufwe na utamu wangu[emoji57] [emoji57] [emoji57] bebe bongooo aje hapa kula umbea
Na leo unipe tena kama juziKhaaa uko siriazi na nn na wewe ebu uko hapa no chit chat
Haya njoo....Nakuja
NakusubiriiNaona umeamua kuniharibua niachike ufurahi mfyuuuu zako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniii loooh!inaumizaa kweli baasi tu!Nachukia mtu anayejiona wa thamani kuliko wenzake,anayedhalilisha wanawake ukute alitoka huko na miugwadu yake ya kilo moja dina akamsaidi kupunguza halafu analeta maneno mbofumbofu
Bwana weeeh hayo ya kuvuliana nguo yatajulikana mbele kwa mbeleUachike na nani? [emoji23] [emoji23] huogopi kuvuliwa nguo humuu!!!
Kilichobaki stori tu za kijiweniiNN na Dina wamewakomoa wapo PM saa hizi wanaombana Msamaha sasa uzi umekuwa kama Msiba wa Shoga.
Tuweni tu makini ni Rasmi nasema UZI UMEFUNGWA.
Jamani hivi utapewa na wangapi lakiniNa leo unipe tena kama juzi
Ila utamu ushapataaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bwana weeeh hayo ya kuvuliana nguo yatajulikana mbele kwa mbele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakusubirii
Nakufahamuuu..... Kwakweli haipendeziiii, mshushie vituNachukia mtu anayejiona wa thamani kuliko wenzake,anayedhalilisha wanawake ukute alitoka huko na miugwadu yake ya kilo moja dina akamsaidi kupunguza halafu analeta maneno mbofumbofu
Hapo sawa kuna ulw uzi wa kile kidume kilitongozwa na Mdada hapa akaja kuchongea humu [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah JF ina vitimbi sana.Kilichobaki stori tu za kijiwenii
KaribuNakuja
Sio nimepata tumepata woteeeIla utamu ushapataaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ufungweeeeee uziUzi msiufunge jamani loooh
Jamaa unataka tena kuibua nini [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pumbavu sana.Nakufahamuuu..... Kwakweli haipendeziiii, mshushie vitu