Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Hapo sawa kuna ulw uzi wa kile kidume kilitongozwa na Mdada hapa akaja kuchongea humu [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah JF ina vitimbi sana.

Hebu nipe link ya huo uzi mwenyekiti wa Umbea.
Umefungwaa[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] miye sio mwenyekiti wa umbea bwanaa!!!wansingizia
 
Amu nadhani tusameheane nisamehe kutokulisoma hilo, Kina Espy wajanja walikimbia mtego, Ila sijilaumu Sana ni Mapito ,acha tu ndio maana umeona kwa G hadi password wengine wanadhani G gelesha nawacheka kweli

Nadhani Mungu akifunga mlango mmoja hufungua hata dirisha mwanga uingie nadhani kwangu Mungu kafungua mageti yote now

Wengine hapa anawalaghai laghai kwa mineno Mitamu, wapo wapi kina Mwafrika mimi nna damu ya Kisomali sikimbii Vita Kabisa,
Uliyoongea wasipojifunza watalia Siku moja Hakuna mtu muongo jf Kama huyo baba hayupoo nadhan we ni member wa muda mrefu unamjua ,wala watu wa kishua humu wapo kimyaa

Leo nimemaliza kinyongo changu kabisa sitomuongelea tenaa huyu mtu
 
Asante Dina naomba tuachie jukwaa sasa sisi pia tufanye yetu naomba upumzike.
 
Uzi msiufunge jamani loooh
Sihusiki na huu uzi ila naumia sana.... Tukumbuke kuna maisha baada ya hapa na nje ya JF.... Mbaya zaidi maandishi hayafutiki... Kuna siku maandishi haya haya yatakuja kugeuka fimbo mbaya hata kwa hawa wapambe wanaochochea mgogoro... RRONDO kakimbia ila angerudi tupambane uzi uondolewe... Tusiifanye CHITCHAT sehemu ya kuogopwa na JF isitumike kama bakora ya kuchapana kwenye maswala private nje ya jukwaa
 
Luv u my girl[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] I was expecting this sweetie let's other life lead u!!

Mr G love this girl as she does to u please!!
I know Dina here and there please Niko nae humu 4yrs kisura simjui ila kihisia tuko wotee kuanzia enzi tunatukanwa na team Mange(kisa sintah),team wema(kisa Zari)mpk leo team zari(kisa Mobeto)[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2](utani umo pia)mpk leo!!

She told what's within her heartanakuamini na kukupenda don't please dare to hurt her!

She has through enough haswaa kwa binti kumkukuta haya yaliyomkuta an this isn't the first time kutokea!

Mpende Dina wangu na umbea wake wote[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo alivyo na miye nampenda hvyo hvyo sasa!!huyu Mrs G aka M...1
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…