Sawa!Ufungweeeee
SawaAsante Dina naomba tuachie jukwaa sasa sisi pia tufanye yetu naomba upumzike.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unataka kuchukua jiko?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kapiga pini[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuja mm [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] la nguvuKapiga pini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Link kwenye bio[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tulishare nini
Eeee[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Unataka kuchukua jiko?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2]Daaah kumbe nimefungiwa PM kisa Kuna jamaa anakulaga Alafu kimsingi ana expose
Nilikuwa sijui Daah Kweli fungu la kukosa
Watu wameshiba udambwi ubuyu ndo wanatoa nasaha asee![emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekupenda bure japo umeongea baada kupata umbea wote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe tuuuJamani hivi utapewa na wangapi lakini
[emoji1] [emoji1] ndo ilivyo good hapa tayari tushajua kipi ni kipi!Watu wameshiba udambwi ubuyu ndo wanatoa nasaha asee![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi siko hivyo mwenzenu nabalansishaga storee then napatanisha!
Wapo wengi tu watampa[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Tunasutanaga Wenyewe wanawake tulionana live tena miaka hiyo akili za utoto,ila jamani sijaona mwanaume jf akasutana akachambana mbaya zaidi akachukua picha za wadada kubandika humu,nimeonana na wengi sana misibani,sherehe kunywa pombe,kwenye ugonjwa,makazini na tunasaidiana kweli kweli sijawahi kujuta kukutana na wanajf,ila huyu mmoja anataka watu waogope hata kuonana kupeana round za balimi,anyway as he claim yeye msomi,baba mwalim chuo,borntown kitambo umeachana na mwanamke mmpepishana hiyo ndo njia ya kumaliza tofauti,nlitegemea usomi(inaweza kuwa kweli huyu form four failure) wake na kuishi jirani na usher angemaliza hili vyema sana,ila bwaaaa yeye na mimi mkuna nazi hatuna tofauti.
Kwa ambao hawamjui wameshamjua sasa,sidhani kama atapata kyuma tena humu,
Sio fair ndio naikumbuka hadithi ya Shemeji shunie kwamba DUNIA HAINA USAWA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]Link kwenye bio[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakupenda piaLuv u my girl[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] I was expecting this sweetie let's other life lead u!!
Mr G love this girl as she does to u please!!
I know Dina here and there please Niko nae humu 4yrs kisura simjui ila kihisia tuko wotee kuanzia enzi tunatukanwa na team Mange(kisa sintah),team wema(kisa Zari)mpk leo team zari(kisa Mobeto)[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2](utani umo pia)mpk leo!!
She told what's within her heartanakuamini na kukupenda don't please dare to hurt her!
She has through enough haswaa kwa binti kumkukuta haya yaliyomkuta an this isn't the first time kutokea!
Mpende Dina wangu na umbea wake wote[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo alivyo na miye nampenda hvyo hvyo sasa!!huyu Mrs G aka M...1
Huyu si unakumbuka anatuletea wine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakutunukia cheti la umbeaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji100] [emoji100] [emoji100]Watu wameshiba udambwi ubuyu ndo wanatoa nasaha asee![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi siko hivyo mwenzenu nabalansishaga storee then napatanisha!