Yuko wapi Nyani Ngabu?

Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Tunasutanaga Wenyewe wanawake tulionana live tena miaka hiyo akili za utoto,ila jamani sijaona mwanaume jf akasutana akachambana mbaya zaidi akachukua picha za wadada kubandika humu,nimeonana na wengi sana misibani,sherehe kunywa pombe,kwenye ugonjwa,makazini na tunasaidiana kweli kweli sijawahi kujuta kukutana na wanajf,ila huyu mmoja anataka watu waogope hata kuonana kupeana round za balimi,anyway as he claim yeye msomi,baba mwalim chuo,borntown kitambo umeachana na mwanamke mmpepishana hiyo ndo njia ya kumaliza tofauti,nlitegemea usomi(inaweza kuwa kweli huyu form four failure) wake na kuishi jirani na usher angemaliza hili vyema sana,ila bwaaaa yeye na mimi mkuna nazi hatuna tofauti.
Kwa ambao hawamjui wameshamjua sasa,sidhani kama atapata kyuma tena humu,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amu amuu!tumemaliza kipenzii!

Mimi pia sijutii kuwajua baadhi ya jf I found love here (kabisaa yaani)...
Nawajua wake kwa waume amna tunaheshimiana mnooo!!!

Nashukuru Mungu sana kuwajua nyie ninaowajua mpk tunasadiana!!
 
Amu nadhani tusameheane nisamehe kutokulisoma hilo, Kina Espy wajanja walikimbia mtego, Ila sijilaumu Sana ni Mapito ,acha tu ndio maana umeona kwa G hadi password wengine wanadhani G gelesha nawacheka kweli

Nadhani Mungu akifunga mlango mmoja hufungua hata dirisha mwanga uingie nadhani kwangu Mungu kafungua mageti yote now

Wengine hapa anawalaghai laghai kwa mineno Mitamu, wapo wapi kina Mwafrika mimi nna damu ya Kisomali sikimbii Vita Kabisa,
Uliyoongea wasipojifunza watalia Siku moja Hakuna mtu muongo jf Kama huyo baba hayupoo nadhan we ni member wa muda mrefu unamjua ,wala watu wa kishua humu wapo kimyaa

Leo nimemaliza kinyongo changu kabisa sitomuongelea tenaa huyu mtu
Asante sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom