Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani huyoHuyu si unakumbuka anatuletea wine
Mkuu mbona umefurahi?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amu amuu!tumemaliza kipenzii!Tunasutanaga Wenyewe wanawake tulionana live tena miaka hiyo akili za utoto,ila jamani sijaona mwanaume jf akasutana akachambana mbaya zaidi akachukua picha za wadada kubandika humu,nimeonana na wengi sana misibani,sherehe kunywa pombe,kwenye ugonjwa,makazini na tunasaidiana kweli kweli sijawahi kujuta kukutana na wanajf,ila huyu mmoja anataka watu waogope hata kuonana kupeana round za balimi,anyway as he claim yeye msomi,baba mwalim chuo,borntown kitambo umeachana na mwanamke mmpepishana hiyo ndo njia ya kumaliza tofauti,nlitegemea usomi(inaweza kuwa kweli huyu form four failure) wake na kuishi jirani na usher angemaliza hili vyema sana,ila bwaaaa yeye na mimi mkuna nazi hatuna tofauti.
Kwa ambao hawamjui wameshamjua sasa,sidhani kama atapata kyuma tena humu,
Asante sanaAmu nadhani tusameheane nisamehe kutokulisoma hilo, Kina Espy wajanja walikimbia mtego, Ila sijilaumu Sana ni Mapito ,acha tu ndio maana umeona kwa G hadi password wengine wanadhani G gelesha nawacheka kweli
Nadhani Mungu akifunga mlango mmoja hufungua hata dirisha mwanga uingie nadhani kwangu Mungu kafungua mageti yote now
Wengine hapa anawalaghai laghai kwa mineno Mitamu, wapo wapi kina Mwafrika mimi nna damu ya Kisomali sikimbii Vita Kabisa,
Uliyoongea wasipojifunza watalia Siku moja Hakuna mtu muongo jf Kama huyo baba hayupoo nadhan we ni member wa muda mrefu unamjua ,wala watu wa kishua humu wapo kimyaa
Leo nimemaliza kinyongo changu kabisa sitomuongelea tenaa huyu mtu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaogopa kurogwa eee[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mwanyasi lalaHivii....
Mbona mimi nahisi ni chitchat halafu mtu naivamia comment yangu kama tupo live!?
Maisha yenyewe mafupia haya nikienda na mwendo wa kununa nuna nitafurahi lini Tycoon MAKAVELI Jr. mimi!?Mkuu mbona umefurahi?
Siongei na mbwaJamaa unataka tena kuibua nini [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pumbavu sana.
NakaziaaaaaHahaaaaaa....we jamaa mwenyewe mbea tuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unalo la kuhitimisha?Mwanyasi lala
Hi cute inna...miss ya!Alafu ww mbona hujaniita[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji109] [emoji109]
Ila uko tayari kujibu mbwa? Pumbavu sana.Siongei na mbwa
Mwanaume kuwa mmbea sio sifa.Mimi na wewe ni wambea tu[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Yaani watu wangekua wanajifunza kupitia wewe,upo busy na tunguli zako ingawa nawe nakumind nilikuombaga limbwata nime mtu hujanipa hadi leo
We mtoto una nongwa kama mtoto wa mganga!?Umeona alivyopambwa kama kajipodoa yeye tu ingekuwa huku angepakwa marangi
Nini mbayaMwanyasi lala
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shenzy zako mfyuuuu
Haaahaaa...umechafukwaaKazipata aende akaombe nazo tender sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji120] [emoji120] [emoji120] malighafi ilikuwa hakuna ikifika takuambiaYaani watu wangekua wanajifunza kupitia wewe,upo busy na tunguli zako ingawa nawe nakumind nilikuombaga limbwata nime mtu hujanipa hadi leo