Yuko wapi Nyani Ngabu?

Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Why are you guys escalating this?

Stop acting like you want it to end when deep down you don’t really want it to end.

Acheni kuchochea kama kweli hamtaki yaendelee.

Mnachokifanya sasa hakisaidii chochote.
Nisamehe bure, nilitania mkuu
 
Hahahaa pesa atoe wapi ana hela ya kunywa bia tu maskini Kama mimi tofauti mi nipo mwanza ye kwa Trump
Anunue hata furniture kwao analalalia kitanda cha mwaka 47 .akija Jf kutukana watu maskini wakati hata banda hana
Cc Humble African
Una uhakika na haya unayoyasema au kuna jingine nyuma ya pazia?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom