Yuko wapi Nyani Ngabu?

Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Ila nyie mnapenda sana kufaidisha watu. Hivi kitu gani hicho msichoacha kugombana? Kuna watu wanawacheka hatari ambavyo mnagombama maana mlikua team moja kuwakaanga. Halafu nin hicho kisichoisha mnakigombania? Acheni utoto bwana yaishe haya.
Walinyonyana damu
 
Nyie watu hamchoki?

Bado mnataka vita iendelee?

Manake hiyo ilikuwa amsha amsha tu....

Semeni suuuuuu
Dina amehitimisha kuwa hata kutaja, yaani ameamua kuacha na kusamehe.
Huyo ndio wa muhimu kumsikiliza.
Wengine sisi hatuna tija. Naomba nawe ufunge file boss
 
Tunasutanaga Wenyewe wanawake tulionana live tena miaka hiyo akili za utoto,ila jamani sijaona mwanaume jf akasutana akachambana mbaya zaidi akachukua picha za wadada kubandika humu,nimeonana na wengi sana misibani,sherehe kunywa pombe,kwenye ugonjwa,makazini na tunasaidiana kweli kweli sijawahi kujuta kukutana na wanajf,ila huyu mmoja anataka watu waogope hata kuonana kupeana round za balimi,anyway as he claim yeye msomi,baba mwalim chuo,borntown kitambo umeachana na mwanamke mmpepishana hiyo ndo njia ya kumaliza tofauti,nlitegemea usomi(inaweza kuwa kweli huyu form four failure) wake na kuishi jirani na usher angemaliza hili vyema sana,ila bwaaaa yeye na mimi mkuna nazi hatuna tofauti.
Kwa ambao hawamjui wameshamjua sasa,sidhani kama atapata kyuma tena humu,
hahaha kaweka kaugumu flan kwenu,mpqka tutumie nguvu sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom