[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ana yake tuu huyo[emoji1]Leo siitwi mama Sabrina halaf unaona mwifwa anataka kutuchonganisha mwambie hawezi eti anamuita ney
Kweli mwifwa hapendi kuona ndugu tukipendana kweliiii naomba umwambie mwifwa sisi hakugombanishwiiAna yake tuu huyo[emoji1]
Nime ona ana muita na G eti
Ahahahha sawa mwifwaNa mimi pia sipendi ila nimesema tu yupo.
Tunajua tuliko tokaKweli mwifwa hapendi kuona ndugu tukipendana kweliiii naomba umwambie mwifwa sisi hakugombanishwii
Hehehehehe hongeraa ndio umemzuia asiingie jf eee hongera na umuoe sasa sio kummimba tu baadae mnakujaa oooh single mom sijui nini cc RaynaveroMima anamimba ,miezi mitatu sasa ,now katulia na biashara zake tuli !![emoji122]
Kapeace nipo naye muda wote ,siunajua ni zaidi ya JF
Adolay ???
Hamna tatizo ila litakuwa tatizo pale tutakaoona manyoya yanazagaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Braza hapo tatizo liko wap mpaka umwambie Ney?
[emoji23][emoji23][emoji23]Nasubiriaa jibu lake sio anataka chura bure bure tu
Asitutishee sisi ni Alfa na omegaTunajua tuliko toka
Tunajua hadi tutako ishia [emoji23]
Asitutishe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hamna tatizo ila litakuwa tatizo pale tutakaoona manyoya yanazagaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Eeeh akienda mlimani mara moja moja huwa anaandika humuMbona kama kuna sehem niliona mwandiko wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzigua anatania yupo sana mamoderator wa kujitegemea tushamuona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwenda hukooo
Uache uchokozi
Acha bit weweUnataka ujaribu kunitukana,jaribu siku moja na wengine wajaribu ukija na nyingine ban tu
Tatizo lenu huwa mnatuangalia kwa jicho jepesi jepesi tazamaneni kwa umakini na acheni dharau la sivyo life ban itawahusu
Anhaaa bas sawaEeeh akienda mlimani mara moja moja huwa anaandika humu
Duuuhh kuoa tena?? Aiseeeeee .Hehehehehe hongeraa ndio umemzuia asiingie jf eee hongera na umuoe sasa sio kummimba tu baadae mnakujaa oooh single mom sijui nini cc Raynavero
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] ..huyu mkuu baada ya kumfunguLia uzi Shunie .." Shunie sasa waweza jiita Mr.Genta....
bahati mbaya shunie naye akafungua uzi " Kwa Davet Wangu" ..
Daaahhh mkuu Genta akapotea!!!....bado nawakumbusha ,usimfungulie uzi mwanamke wa JF km huna uhakika wa mahusiano yake
Lakini atarudi siku si nyingi. Anakaribia kurudi Marekani atarud na id yakeAnhaaa bas sawa
Haya uzuri miandiko ya watu huwa hipotei ata akija na ID nyengine siye tutamnote [emoji1]Lakini atarudi siku si nyingi. Anakaribia kurudi Marekani atarud na id yake