Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Pia kwako hana umuhim ndo maana hujui alipo. Pia hata yeye hana umuhim kwako ndo maana hajakujulisha alipo
hahaa JF Bhanaa...hivi kuna jukwaa huwa mnauziwa bangi Humu ??
 
Unataka ujaribu kunitukana,jaribu siku moja na wengine wajaribu ukija na nyingine ban tu
Tatizo lenu huwa mnatuangalia kwa jicho jepesi jepesi tazamaneni kwa umakini na acheni dharau la sivyo life ban itawahusu
Mkuu una maana gani kusema Life Ban..? Kwangu maisha ni Fatuma na chura yake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…