Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakutakia hitaji lako kiongozi.Oh mimi naombea nibanwe na majukumu sio watu!
Ngoja aje, atajitambulisha mwenyewe.Huyu ndio alikuwa nani? Manake siku hizi watu wanabadili tu ID
Si unajua zile mambo zetu unakuja kumshkuru kaka asante sana umechelewa niko na mtu Putin huna akili kabisa [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] ..huyu mkuu baada ya kumfunguLia uzi Shunie .." Shunie sasa waweza jiita Mr.Genta....
bahati mbaya shunie naye akafungua uzi " Kwa Davet Wangu" ..
Daaahhh mkuu Genta akapotea!!!....bado nawakumbusha ,usimfungulie uzi mwanamke wa JF km huna uhakika wa mahusiano yake
Abeeeh
Na mm nakuombea ubanweHaya mkuu na mimi naomba sana nibanwe.
Mm nakuombea ubanwe na watuOh mimi naombea nibanwe na majukumu sio watu!
Duuu!! Dunia ina mambo!Jimmy tafadhali naomba usirudie kusema hivyo tena sina mahusiano na huyo mtu kivyovyote tena ,nna mwanaume wangu humu kama vitu hujui ni bora kunyamaza na kuepusha migogoro isiyo na maana
Umeona eeh!?Si unajua zile mambo zetu unakuja kumshkuru kaka asante sana umechelewa niko na mtu Putin huna akili kabisa [emoji3]
Nimeona kaka akeeUmeona eeh!?
GoodJimmy tafadhali naomba usirudie kusema hivyo tena sina mahusiano na huyo mtu kivyovyote tena ,nna mwanaume wangu humu kama vitu hujui ni bora kunyamaza na kuepusha migogoro isiyo na maana
Ukamripoti kwa mods? HahahahaAlinitukana ila msijali atarudi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio vzuri ivo aiseee daaaaahhhhSi unajua zile mambo zetu unakuja kumshkuru kaka asante sana umechelewa niko na mtu Putin huna akili kabisa [emoji3]
Huyu jamaa kapotea siku hizi. Nini kimemsibu? Kajitoa jf? Kapigwa ban? Au kabadili ID?
[HASHTAG]#UsBaby[/HASHTAG]!
AiseeNyani Ngabu yupo amejaa tele .Anatumia jina la Kiranga
Njoo huku basi...Aisee