Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
KumbeeeeeeKumbe unajua Malizia aje hapa alisemwa bibi na mgumba ,utafikiri ye sijui Nani wakati nae Mhenga umri anamzidi Miss Natafuta,usoni anakuchekea akigeuka utasemwa vibayaa mpaka utajiona choo