Yuko wapi Nyani Ngabu?

Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
watu wana fix hatari... atakuambia nipo Seacliff.... kumbe ndiyo yupo bar anahudumia vinywaji.

uzuri maisha yanaenda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Daby weye looohh!!!jamani kaahh!
 
Kwangu yashaisha humu. Hakuna cha kweli hata chembe!

Ila nimeishia kucheka na kujifunza mengi mapya kuhusu mimi!

Sikuwa najua kuwa sijijui teh teh teh!

Sina kwangu! Nimeishia form 4, niko babu kabisa, n.k.
Nyani nikuulize?
Kwa nini uliweka picha ya dina km avatar yako?huhisi kwamba ulifanya kitu kibaya sana?!!
 
Kuna watu hawamfahamu Rrondo, huyu jamaa nimemsoma sana, ukiweza kuepuka madhara fanya hivyo, ukienda kichwakichwa manundu yanakuhusu.
HIVI
RRONDO hakujua kuwa Nyani Ngabu kapigwa ban!! alijua vyema bali ameleta kwa malengo mahususi ayajuayo yeye.

Still...mshikaji hajafanya lolote baya.

Ila bila kujua kanisaidia saaana.

Sasa nina amani na kilichobaki kitaonekana.

Hayo mengine ni changamsha jamvi tu.
 
Kuna watu hawamfahamu Rrondo, huyu jamaa nimemsoma sana, ukiweza kuepuka madhara fanya hivyo, ukienda kichwakichwa manundu yanakuhusu.
HIVI
RRONDO hakujua kuwa Nyani Ngabu kapigwa ban!! alijua vyema bali ameleta kwa malengo mahususi ayajuayo yeye.
Nicheke tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom