Yuko wapi Nyani Ngabu?

Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
PM me.....
Am sorry nakuuuliza lingine why ulitumia jina la mzazi wa dina kufungua Avatar!!!?!!

Kwa nini ulituma picha za nifah?

Umetudissapoint wengi sana kakaa hapa jf watu wanafahamiana wengi mno na tunakwazana but what u did sidhani km ni vzr
 
Ni ukweli hajafanya lolote lkn nahisi malengo yake yamefanikiwa.

Kafanikiwa nini sasa?

Manake hakuna cha kweli hapo hata kimoja.

Vyote uzushi mtupu!

Au huo uzushi ndo mafanikio?

If anything aliyefanikiwa ni mimi and I know why.....
 
Meonaa eeh?

Maswali na majibu hapahapa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani wewe.
23vy25.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom