Yuko wapi Nyani Ngabu?

Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Sihusiki na huu uzi ila naumia sana.... Tukumbuke kuna maisha baada ya hapa na nje ya JF.... Mbaya zaidi maandishi hayafutiki... Kuna siku maandishi haya haya yatakuja kugeuka fimbo mbaya hata kwa hawa wapambe wanaochochea mgogoro... RRONDO kakimbia ila angerudi tupambane uzi uondolewe... Tusiifanye CHITCHAT sehemu ya kuogopwa na JF isitumike kama bakora ya kuchapana kwenye maswala private nje ya jukwaa
Nakazia kaka uzi ufutweee
 
Sawa kaka mshana nakuheshimu mnoo!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom