yuko wapi PJ? KUPERUZI na kudadisi kuna dorora sana, matatizo gani hayo??

understanding

Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
75
Reaction score
34
jamani, tuna masiku sasa hatumsikii muzee mujanja a.k.a. PJ.. tulisikia tu kapata matatizo j3 alipokuwa akielekea kazini, matatizo gani? alipatwa na nini? yuko wapi sasa?

wadau, kuna mwenye kujua huyu mutu alipatwa na nini? mushikeli gali?? jana nilipita mjengoni nikasikia misemo tu haeleweki ajali, au nini??

tuhabarisheni mwenye habari
 
nae ndo kafata nyayo za gerlad Hando

kutadorora saana na bado............
 
ni utaratibu wa kazi tu nadhani wanapangiwe vituo vingine
 
understanding

20th April 2013 16:03
#1
MemberArray


Join Date : 17th February 2013
Posts : 53
Rep Power : 320
Likes Received13
Likes Given0


[h=2]
Arnold kayanda (jahazi) na Gerald hando (power breakfast) yuko wapi?[/h]
Wadau, nimekuwa nikisikiliza Jahazi takribani siku kadhaa sasa bila kusikia Arnold Kayanda wa jahazi la Kibonde wala Gereld Hando wa PB.

Hawa watu (top in town) wako wapi? mapumziko au ndio kishanuka??

Mwenye data atusaidie hapa...​






understanding

14th April 2013 17:35
#1
MemberArray


Join Date : 17th February 2013
Posts : 53
Rep Power : 320
Likes Received13
Likes Given0


[h=2]
ushauri wa bure kwa Jide juu ya redio ya watu[/h]
Lad Jay Dee, The Pumpkin of the Old Homestead MUST NOT BE UPROOTED! maana halisi ya hiyo proverb ni USINYEE KAMBI. waswahili wanasema usisahau ulikotoka na aliyekutoa..

wanadamu tuna tabia ya kujisahau sana, haswa tupatapo mafanikio katika nyanja fulani zinazotuhusu. Kujisahau ni ugonjwa mkubwa tupatao sisi wanadamu. Lakini lazima tukubali kujisahau sio kuzuri, ebu jaribu kuvuta picha, hata tu ya kufikirika, vipi asingejitokeza yule mtu katika njia ya maisha yako, je leo ungekuwa hapo? ungekuwa ulivyo?

kamwe usijisahau kiasi cha kumtusi aliyekusimamisha, aliyekutoa katika aibu, aliyekufanya leo utembee na uonekane ulivyo...

Jide, redio ya watu ndio iliyokutoa, ndio waliokutambulisha katika anga ya muziki. maisha yako wewe ni matokeo ya moja kwa moja ya redio ya watu, leo ukitusi na kukebehi kiasi hicho ni kwamba hutafuti kingine zaidi ya laana.. wewe umeonekana kwa sababu ya redio ya watu, wale ndio waliokusimamisha, usisahau ulikotoka. Mumeo, kafundishwa ujanja na redio ya watu, kipaji chake kilionyeshwa na redio ya watu, ni redio ya watu ndio ilimlea na kumkuza. Biashara yenu, yaani Nyumbani Lounge, ni redio ya watu iliyotambulisha biashara yako, kumbuka, kumbuka fresh..... Leo mbona mnajisahau sana..

ushauri wangu: The Pumpkin of the Old Homestead MUST NOT BE UPROOTED!






  • understanding

    1st April 2013 18:50
    #1
    MemberArray


    Join Date : 17th February 2013
    Posts : 53
    Rep Power : 320
    Likes Received13
    Likes Given0


    [h=2]
    Babuu wa kitaa na media (Tv)[/h]
    jamani naombeni kufahamu taaluma ya Babuu wa Kitaa, Nimeshituka sana kuambiwa kuwa naye ni miongoni mwa TV presenters ya TV station fulani hivi hapa mjini na tena analipwa pesa ndefu sana kuliko presenters wote wa kituo hicho...

    ninamfahamu huyu jamaa kama muhuni tu, mlevi, mvutaji, na mgomvi akilewa, sifahamu wala sina kumbukumbu ya chuo cha habari alichopitia hadi akawa kwenye media leo...

    swali ni je kweli huyu jamaa yuko kwenye media siku hizi? mwenye kumfahamu zaidi naomba atujuze...


    understanding

    23rd March 2013 19:14
    #1
    MemberArray


    Join Date : 17th February 2013
    Posts : 53
    Rep Power : 320
    Likes Received13
    Likes Given0


    [h=2]
    nini lengo la "made in Tanzania, slogan ya Clouds fm kwa sasa"[/h]
    Hello wana-jf!!...ninajiuliza maswali haya sipati majibu?nini lengo la hii slogan ya clouds media kwa sasa "made in Tanzania" kwanini sasahivi mbona wakati huu?wiki hii watangazaji wote wa clouds fm wanaongelea sana weledi "professionalism"... naomba mnisaidie, wao wana weledi au wana-practise weledi wanaosisitiza na kutufundisha... au ndio kwenye miti hakuna wajenzi?na-declare interest, ninampenda sana PJ wa PB...​




    • ????????????????????????????????????????????????????????????????????







 
matumbo asante umetusaidia kumfahamu huyu mleta mada kwamba ni jinga jinga fulani tu wala halina mpango wowote.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa anakaribia kuoa, nadhani atakuwa likizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…