KGT ni baba ake Bob Junior......Bado yupo fiti na anaendelea kutengeneza beat kama kawaida na mwanae maeneo ya Magomeni
G Lover ndiye aliyewatoa akina Blue na Ally Kiba kabla hawajatoroka tunduni.si kweli mmliki wa G records ndiye baba ake mdogo na bob junior jina lake ni Gulu Ramadhan...Kgt ndiye alikuwa producer na hana undugu wowote na kina sharobaro
sio kweli babake mdogo ni dj Guru aka G loverKGT ni baba ake Bob Junior......Bado yupo fiti na anaendelea kutengeneza beat kama kawaida na mwanae maeneo ya Magomeni