Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Huyu jamaa amewatoa wasanii kibao kuanzia akina alikiba, Queen Darleen, hata Nai Nai Ommy Dimpoz na ngoma kibao ambazo huenda hujui kuwa ni mkono wake maana alikuwa haweki signature kwenye nyimbo. Hivi yupo bado au ashaachana na mziki?
Na vipi Tuddy Thomas na Mono Gangsta mme wa Aziza yule mtangazaji wa Clouds TV nao amekuwa kimya.
Na vipi Tuddy Thomas na Mono Gangsta mme wa Aziza yule mtangazaji wa Clouds TV nao amekuwa kimya.