Yuko wapi Producer Mona Gangster?

Mkewe ni nani?
 
Hii ni mara ya pili naona unamponda Zest kwenye mada za ma producer..

Inaelekea alikugongea mkeo..

Kaka Zest hajaanza u producer Leo, yupo tangu enzi hizo pale Ilemi(Mbeya)..

alafu jamaa hawezi kufulia mazake yupo mamtoni anamuwezesha na pia ana nyumba ya urithi pale Mafiat,Mbeya anakula Kodi tu..

Na kibaya zaidi kwako ni kwamba Zest ana dharau sana hawezi shoboka na Mzinga wa nyagi na ndo maana kizazi Cha wasanii wenzake wote alikuwa anasoma nao(Quick rocka, Izzo b, Adam mchomvu, Maru.t.c )..walitusua kimziki kasoro yeye..

Nakusisitiza Tena Jamaa kaajaliwa dharau na pozi hivyo hawez ku beg Kwa mtu Wala kuhongwa nyagi..

Ile studio ambayo Rayvanny amemfungulia Rash don ilipaswa amfungulie zest kama zawadi lakini unajua walishindwana wapi..

Ukiingia Youtube andika Zest mkali- usiniache, kuna sehemu utamuona Amber lulu enzi hizo kule mbeya tunamuita Lulu bichwa, lakini unajua kwanini kamtengenezea jini kisirani kisha wameshindwana, jamaa ana dharau mbaya, hata mimi alikuwa mshikaji wangu ila sahibi hatuivi lakini siwezi msemea vibaya

Kama huwajui watu kaa kimya mzee, kisha kama alikugongea nawe tafuta mnyonge wako ummegee, haitapunguza maumivu ila itarudsha hadhi ya kiume..
 
Namjua Zest na Studio yake ipo Tabata karibu na Reminant Primary School na sehemu hiyo kuna banda la mpira huwa na tizamaga EPL. So ninacho ongea na kijua (sikulazimishi ukubali).

Sijajua kama anagonga wake za watu, vipi wewe ushagongewa mke wako na Zest?
 
Ni upuuzi lakini unamjua zest.??

Jina lake halisi ni nani.?.
 
Ni upuuzi lakini unamjua zest.??

Jina lake halisi ni nani.?.
Yaani ukilijua jina halisi la mtu ndio unamjua,haya tufanye simjui. Ila njoo huku kwenye ofisi yake Tabata ushuhudie nilicho kiongee kwa nini tuandikie mate,umuone huyo jamaa yako wako unadai wa kisua,jinsi alivyochoka sometimes anawatengezea biti wasanii hata kwa mzinga wa Konyagi.
 
Kilio cha ma producer/beat maker sio bongo tu hata mbele wanalalamika sana ! Ila bongo ni zaidi !

Wasanii wanapenda dezo sana nawafahamu vizuti sana .. wanaamini umaaruhu wao ni mtaji wakupata kila kitu for free...

Hawa aatu ukifanya nao kazi hakikisha una contract na umelipqa advance ,ukiingiza ushkaji imekula kwako! ..

Kuna msanii nilimfanyia kazi mbili za pesa kidogo tu, kazi ya kwanza ilipokamilika jamaa kimya kajikausha "wanajijuta wako busy na show"..
Akajisahaulisha kaja na ishu nyingine nimsave ... niakifanya chap..kisha kanyuti sasa hivi anaona noma hata salamu . Na me nimemkaushia tu nasubiri ajichanganye..


Mfano kama management ya Darassa walivyokuwa wanamzungusha the mix killer (young keys morento)
 
Uproducer bongo njaa tuu, wengi wanaishia kupata umaarufu.


Bongo hata kuendesha basi njaa wakati nchi za wenzetu sio kazi ya aibu wala nini. Sijui sisi tunakwama wapi? Waafrika kuna kona flani hivi tunajipoteza wenyewe
 
Maproducer wenyewe wanakuambia upepo umeelekea kwake means kuna wakati uelekeo wa ngoma unakuwa kwako kila mwanamziki anatamani atoe ngoma kwako then unakuja kwa mwingine n.k hujiulizi wako wapi AM records, TTouch n.k

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Nimeacha kujibizana nawe baada ya kugundua mpaka leo unaangalia mpira kwenye banda.. pole mzee..
 
We ni producer mkuu?
 
Aisee kuna kipindi kila ngoma touch
 
Hata mimi sina time ya kujibizana na ww, mwenye akili za kizamani unayezani kila anakaa ulaya ana hela.
Mkuu Kama hujui huyu ndio zest mwenyewe , imemchoma sana kumwambia anatengeneza beat kwa bapa ...piga chini ajitafute mwenyewe
 
Mkuu Kama hujui huyu ndio zest mwenyewe , imemchoma sana kumwambia anatengeneza beat kwa bapa ...piga chini ajitafute mwenyewe
Siye yy na naongezea tu C9 kafungua banda sasa hivi anauza mitumba,uproducer kapiga chini na anakazi za wasanii kibao kasema achiachii mpaka apewe hela yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…