Hii ni mara ya pili naona unamponda Zest kwenye mada za ma producer..
Inaelekea alikugongea mkeo..
Kaka Zest hajaanza u producer Leo, yupo tangu enzi hizo pale Ilemi(Mbeya)..
alafu jamaa hawezi kufulia mazake yupo mamtoni anamuwezesha na pia ana nyumba ya urithi pale Mafiat,Mbeya anakula Kodi tu..
Na kibaya zaidi kwako ni kwamba Zest ana dharau sana hawezi shoboka na Mzinga wa nyagi na ndo maana kizazi Cha wasanii wenzake wote alikuwa anasoma nao(Quick rocka, Izzo b, Adam mchomvu, Maru.t.c )..walitusua kimziki kasoro yeye..
Nakusisitiza Tena Jamaa kaajaliwa dharau na pozi hivyo hawez ku beg Kwa mtu Wala kuhongwa nyagi..
Ile studio ambayo Rayvanny amemfungulia Rash don ilipaswa amfungulie zest kama zawadi lakini unajua walishindwana wapi..
Ukiingia Youtube andika Zest mkali- usiniache, kuna sehemu utamuona Amber lulu enzi hizo kule mbeya tunamuita Lulu bichwa, lakini unajua kwanini kamtengenezea jini kisirani kisha wameshindwana, jamaa ana dharau mbaya, hata mimi alikuwa mshikaji wangu ila sahibi hatuivi lakini siwezi msemea vibaya
Kama huwajui watu kaa kimya mzee, kisha kama alikugongea nawe tafuta mnyonge wako ummegee, haitapunguza maumivu ila itarudsha hadhi ya kiume..