Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
We form two shule hazijafunguliwa tu?hatuongelei hao wanywa maji mengiHuyo jamaa anaigiza Na Ni among of the best actors kwa sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We form two shule hazijafunguliwa tu?hatuongelei hao wanywa maji mengiHuyo jamaa anaigiza Na Ni among of the best actors kwa sasa.
hivi yule jery da hustler.......ganja ni hatua ya awali ya ngada
hahahaaaWe form two shule hazijafunguliwa tu?hatuongelei hao wanywa maji mengi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]We form two shule hazijafunguliwa tu?hatuongelei hao wanywa maji mengi
utakuwa unamuongelea mzee wa mazoezi ya kimwili yasiyo na program maalum ZOLA D.Hivi huyu ndio yule alikuwa bondia.......aliimba ...... moto wa tipa
[emoji23] [emoji23] kwa nn mkuu unasema mazoezi yake hayana program maalum?utakuwa unamuongelea mzee wa mazoezi ya kimwili yasiyo na program maalum ZOLA D.
yule bwege mtiririko wa mazoezi yake mimi huwa siuaelewi.....anaweza akakuta tofali njiani akalinyanyua na kuanza kukimbia nalo mtaani kama chizi....Zola bhana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] kwa nn mkuu unasema mazoezi yake hayana program maalum?
Hahah mzee mbona kama unapiga dongo hvutakuwa unamuongelea mzee wa mazoezi ya kimwili yasiyo na program maalum ZOLA D.
yule bwege mtiririko wa mazoezi yake mimi huwa siuaelewi.....anaweza akakuta tofali njiani akalinyanyua na kuanza kukimbia nalo mtaani kama chizi....Zola bhana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] nimecheka sana maana huyu jamaa unaweza ukamuona asubuhi ana gogo na jioni ana matofari akiyagonga kwenye tumbo watu wanafanya mazoezi lakini ndugu yetu Zola ana pepo la mazoezi, na kwa nn asiende kushiriki MMA na wababe wa kwenye ring maana sijui haya mazoezi yake amerenga nn haswa!!yule bwege mtiririko wa mazoezi yake mimi huwa siuaelewi.....anaweza akakuta tofali njiani akalinyanyua na kuanza kukimbia nalo mtaani kama chizi....Zola bhana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeonaeeeee...zola ni shida[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ana ngoma yake moja ya kitambo sana inaitwa moto wa tipa.[emoji23] [emoji23] nimecheka sana maana huyu jamaa unaweza ukamuona asubuhi ana gogo na jioni ana matofari akiyagonga kwenye tumbo watu wanafanya mazoezi lakini ndugu yetu Zola ana pepo la mazoezi, na kwa nn asiende kushiriki MMA na wababe wa kwenye ring maana sijui haya mazoezi yake amerenga nn haswa!!
naipata sana mkuu! huyu jamaa video zake nyingi zimejazwa na ubabe [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeonaeeeee...zola ni shida[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ana ngoma yake moja ya kitambo sana inaitwa moto wa tipa.
Maskini jeuri tumeshadata.....ktk hii ngoma,bwana mkubwa anasikika akichana verse ya kwanza.....jamaa alikuwa anaflo flani hivi tamu za kihuni.
inabidi uwe mzoefu wa kiswahili cha wahuni wa maskani ili umuelewe.
Ila ndio hivo tena,jamaa alianza kula madude kitambo sana.napenda kufahamu alipo kwa sasa.