Yuko wapi Rais mstaafu Salmini Amour wa Zanzibar?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Wadau nadhani sote tunamjua aliyekuwa Rais wa Zanzibar Salmin Amour.Rais Huyu amekuwa haonekani kwenye shughuli mbalimbali kama Marais Wastaafu wanavyoonekana,ziwe za Chama au Serikali je tatizo ni nini?
 
Juzi tu nimetoka kuniuliza hili swali
Ila mzee kwa sasa haoni na alipataga stress za kuachwa na yule mama salma salmin
 
Back
Top Bottom