elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
nani anamkumbuka huyu dada aliwahi kuwika na nyimbo zake kama ngoma za kwetu, na fitina ambao ulikuwa kati ya nyimbo nzuri mara gafla baada ya album yake hiyo akapotea.
Kuna mwenye habari zake huyu dada?
Ameokoka, ameacha muziki. Sasa hivi anafanya kazi Ernst&Young.
Nani anamkumbuka huyu
dada aliwahi kuwika na nyimbo zake kama ngoma za kwetu, na fitina ambao
ulikuwa kati ya nyimbo nzuri mara gafla baada ya album yake hiyo
akapotea.
Kuna mwenye habari zake huyu dada?
huyu dada alikuwa amejazia wewe acha tu, ila familia yao yote wako vizuri baba yao alikuwa anafanya kazi africa development bank nchini ivory cost watoto wake wote ni full kifaransa, na aliwapeleka shule kisawasawa kama mnamkumbuka iluminata yule aliyekuwa tusker project fame ni mtu na dada yake.Nani anamkumbuka huyu dada aliwahi kuwika na nyimbo zake kama ngoma za kwetu, na fitina ambao ulikuwa kati ya nyimbo nzuri mara gafla baada ya album yake hiyo akapotea.
Kuna mwenye habari zake huyu dada?
she is married pia
Na mzungu au..?? Lady JD alimuimba kuwa ndoto na mawazo yake ni kuishi na mzungu...
Nani anamkumbuka huyu dada aliwahi kuwika na nyimbo zake kama ngoma za kwetu, na fitina ambao ulikuwa kati ya nyimbo nzuri mara gafla baada ya album yake hiyo akapotea.
Kuna mwenye habari zake huyu dada?
Anadeka sana huyu mrembo yaani huyi mume wake kazi anayo!hata kula mchana mkiwa nae (Barclays) anasema amechoka kula anaona uvivu,atakula jioni!yaani full kudeka!ila anajitambua sana!!
Anadeka sana huyu mrembo yaani huyi mume wake kazi anayo!hata kula mchana mkiwa nae (Barclays) anasema amechoka kula anaona uvivu,atakula jioni!yaani full kudeka!ila anajitambua sana!!
Nilidhania Renee wa Lost Boys!
Yule alidedi mkuu