Yuko wapi Roma Mkatoliki? Serikali ya Magufuli imeishaanza madudu ya kuongelea

Yuko wapi Roma Mkatoliki? Serikali ya Magufuli imeishaanza madudu ya kuongelea

Utakuwa unaenda kumtembelea gerezani akishaukumiwa kwa kesi yake ya uchochezi?!

Vipi utapeleka mahitaji muhimu kwa mwanae Ivan na mkewe mtoto wa kigogo?
 
Anaanda mistari si unajua jamaa huwa hakurupuki au hujaisikia K?
 
NAAMINI ROMA ANAMVUTIA WAYA TU HUYU 'mungu' WA LUMUMBCHTO ndani ya mwaka lazima alale nae R.O.M.A hajawahi kuniangusha hata mara moja! Can't Wait Him...!
True asichelewe eti long time sana. ..
 
Utakuwa unaenda kumtembelea gerezani akishaukumiwa kwa kesi yake ya uchochezi?!

Vipi utapeleka mahitaji muhimu kwa mwanae Ivan na mkewe mtoto wa kigogo?
Heeeh afungwe kwa lip? ?
 
Back
Top Bottom