Yuko wapi Said Comorien

Yuko wapi Said Comorien

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Huyu said comorien alikuwa producer na muimbaji na sehemu kubwa ya wasanii waliofikisha mziki wa old bongo.

Jamaa kwenye vinanda alikuwa yupo poa na kutengeneza mabiti kama.
Nyimbo za msanii pasha ,TID nyota yangu na n.k

Huyu jamaa ukimweka na bizzman walitendea mziki upande wa vinanda
images%20(12).jpg
 
Huyu said comorien alikuwa producer na muimbaji na sehemu kubwa ya wasanii waliofikisha mziki wa old bongo.

Jamaa kwenye vinanda alikuwa yupo poa na kutengeneza mabiti kama.
Nyimbo za msanii pasha ,TID nyota yangu na n.k

Huyu jamaa ukimweka na bizzman walitendea mziki upande wa vinandaView attachment 2525546
Mkuu umenikumbusha mbali sanaa
 
Alirudi Comoro baadae akaenda France nadhani yuko huko mpaka leo
 
jamaa uniniwahi kwa hili swali maana kuna siku nimesikiliza ile ngoma ya maruu ukweli ni kwamba, hadi nikajikuta namkumbuka huyu mwamba alikuwa na studio yake ya bigtime
 
JITA MAN-MAISHA
PRIVA P FT Q CHIEF-TUVUMILIANE
BUSHOKE-DUNIA NJIA
Alitisha sana hapa kichaa wa vinanda!
 
Said Mcomoro A.k.a Said Comerien..

Aligonga sana vinanda kwenda ngoma ya KASSIM - HAIWEZEKANI...

Na kuna ngoma ya RAY C ft. CHID BENZ - NIHURUMIE..
 
Back
Top Bottom