Yuko Wapi Said Maulid-SMG?

Yuko Wapi Said Maulid-SMG?

Gazeti la mwnaspoti lilituletea makala yake mwaka jana, jamaa yupo kwao Kigoma akiendelea na shughuli za kilimo
 
Acha kama mkuu!! unamuongelea gaucho huyu aliestaafu jana ama wa mtaani kwenu!!

Eeeee!! baba tena, dah mkuu umenikumbusha mbali sana,

Baba yangu alifariki nikiwa katikati ya mtihani wa NECTA tena ilikuwa soma la GEO (RIP mzee wangu)

asante.

Ondoa shaka mkuu yalishapita.

sina hakika kama nikikwambia nilifeli au kufaulu itakusaidia.

wacha maisha yaendelee mkuu!!
Hongera kwa hekima yako mkuu
 
Nafikiri anajiandaa kuwa mchambuzi kama mwenzie Ali Mayai.

Ni kocha wa Yanga U20.
IMG_20190618_133255.jpg
 
Back
Top Bottom