Ila sorry kwa kukukumbusha mbalisina hakika kama nikikwambia nilifeli au kufaulu itakusaidia.
wacha maisha yaendelee mkuu!!
Acha uongo..bado anacheza kweny timu za huko ndogo ndogo
we ujui ki2 ebu nenda uangalie..kweny IG yake uone .Acha uongo..
Aliondoka Yanga na kujiunga na club moja ya Angola hadi alipostaafu soka huko huko akawa kocha msaidizi
Acha kama mkuu!! unamuongelea gaucho huyu aliestaafu jana ama wa mtaani kwenu!!
Eeeee!! baba tena, dah mkuu umenikumbusha mbali sana,
Baba yangu alifariki nikiwa katikati ya mtihani wa NECTA tena ilikuwa soma la GEO (RIP mzee wangu)
asante.
Ondoa shaka mkuu yalishapita.
Hongera kwa hekima yako mkuusina hakika kama nikikwambia nilifeli au kufaulu itakusaidia.
wacha maisha yaendelee mkuu!!
Tuko pamoja mkuu.Hongera kwa hekima yako mkuu