Yuko wapi Salum Mwalimu

Ni kiongozi mkubwa wa chadema hajaonekana hadharani hasa kipindi hiki wenzake wakiwa kwenye purukushani na polisi yeye kimya

USSR
Angalau intelligence quotientiq yake iko active kidogo, kusmel fish, kusense na kudetect criminality ya plans na actions za chama chao na hatimae kuescape kisayansi kisiasa
 
Chadema huwa hawapo serious kabisa na maisha, hivi mfano Tundu Lissu angeshinda uchaguzi 2020 halafu kikamkuta kitu ina maana huyu mwamba ndio angekua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…