Yuko wapi Salum Mwalimu

Yuko wapi Salum Mwalimu

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Ni kiongozi mkubwa wa CHADEMA hajaonekana hadharani hasa kipindi hiki wenzake wakiwa kwenye purukushani na polisi yeye kimya.

Soma Pia:
USSR

20240812_185758.jpg
 
Ni kiongozi mkubwa wa chadema hajaonekana hadharani hasa kipindi hiki wenzake wakiwa kwenye purukushani na polisi yeye kimya

USSR
Angalau intelligence quotientiq yake iko active kidogo, kusmel fish, kusense na kudetect criminality ya plans na actions za chama chao na hatimae kuescape kisayansi kisiasa :pulpTRAVOLTA:
 
Chadema huwa hawapo serious kabisa na maisha, hivi mfano Tundu Lissu angeshinda uchaguzi 2020 halafu kikamkuta kitu ina maana huyu mwamba ndio angekua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
 
Back
Top Bottom