Yuko wapi Sam Misago?

Yuko wapi Sam Misago?

B I N A M U

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
1,495
Reaction score
2,403
Habari wakuu.

Hivi Sam Misago yuko wapi? Toka alivondoka EATV hatujasikia wala kuona kuwa alikwenda kituo gani, pia hata Sammisago TV hatumuoni
 
Siku hizi yeye ni C.O ameajiri Vijana na chanel yake ya online. Ukimtaka nenda samaki samaki Mlimani city utamkuta jioni anakula wine pale
 
Siku hizi yeye ni C.O ameajiri Vijana na chanel yake ya online. Ukimtaka nenda samaki samaki Mlimani city utamkuta jioni anakula wine pale
anhaa kwa karito pale.... sijamuona wala kumsikia mda mrefu
 
Back
Top Bottom