Yuko wapi Sauda Mwilima?

Yuko wapi Sauda Mwilima?

ila maisha yanaenda kasi sana sasa hivi hata Salama wa EATV aliyekuwa na nyodo kwelikweli sasa hivi anatamani apate bwana wa kumuondolea mkosi
 
Nasikia anaenda wasafi muda si mrefu, bado wanaandaa kipindi.. Ukumbuke ni rafik mkubwa sana wa diamond platnumz.. Alimsaidia sana diamond kipindi anatoka.. Jamaa anarudisha fadhila
We jamaa ni muongo sana wewe. Kwanini hivyo lakini?



YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Back
Top Bottom