SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,027 Reaction score 5,344 Apr 11, 2021 #1 Huyu Shabiki maarufu wa Simba SC anayeitwa sembo yupo wapi. Ni muda sasa hajaonekana tangu December 2020. Nimemkumbuka sana kwa jinsi anavyojua kuipamba Simba SC. Au kabadili ID yake humu. Popote ulipo jitokeze Simba ipo vizuri sana.
Huyu Shabiki maarufu wa Simba SC anayeitwa sembo yupo wapi. Ni muda sasa hajaonekana tangu December 2020. Nimemkumbuka sana kwa jinsi anavyojua kuipamba Simba SC. Au kabadili ID yake humu. Popote ulipo jitokeze Simba ipo vizuri sana.
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Apr 12, 2021 #2 Yule alieshikwa na madawa ya kulevya na mkewe waliopigwa mvua ya kifungo cha maisha mbona ana jina kama ilo au ni yeye?
Yule alieshikwa na madawa ya kulevya na mkewe waliopigwa mvua ya kifungo cha maisha mbona ana jina kama ilo au ni yeye?
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,758 Reaction score 6,299 Apr 26, 2021 #3 Prince Kunta said: Yule alieshikwa na madawa ya kulevya na mkewe waliopigwa mvua ya kifungo cha maisha mbona ana jina kama ilo au ni yeye? Click to expand... Hivi inawezekana kumbe.
Prince Kunta said: Yule alieshikwa na madawa ya kulevya na mkewe waliopigwa mvua ya kifungo cha maisha mbona ana jina kama ilo au ni yeye? Click to expand... Hivi inawezekana kumbe.
K kabunda88 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2015 Posts 3,094 Reaction score 2,688 Apr 27, 2021 #4 Covid 19