Yuko wapi sembo shabiki wa Simba SC

Yuko wapi sembo shabiki wa Simba SC

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
6,027
Reaction score
5,344
Huyu Shabiki maarufu wa Simba SC anayeitwa sembo yupo wapi. Ni muda sasa hajaonekana tangu December 2020. Nimemkumbuka sana kwa jinsi anavyojua kuipamba Simba SC. Au kabadili ID yake humu. Popote ulipo jitokeze Simba ipo vizuri sana.​


Screenshot_20210411-212339.jpg
 
Yule alieshikwa na madawa ya kulevya na mkewe waliopigwa mvua ya kifungo cha maisha mbona ana jina kama ilo au ni yeye?
 
Back
Top Bottom