Grena
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 656
- 1,553
Habari zenu wakuu.
Kama sikosei mwaka 2008 kuna tamthilia ya kuelimisha jamii kuhusu Ukimwi, ilirushwa ITV iliitwa Hukumu ya Tunu. Ilikuwa maarufu Sana kwa kipindi kile.
Ilikuwa Tamthilia nzuri sana yenye kuelimisha, Star aliyebeba jina la Tamthilia mwanadada Tunu sijawahi muona akiigiza sehemu nyingine yoyote baada ya Hukumu ya Tunu kuisha.
Kwa wanayefahamu Tunu alienda wapi? Na kwenye social media anatumia jina gani.
I miss her alot anakipaji na Ilikuwa bonge la Tamthilia.