Yuko wapi Tunu aliyeigiza Hukumu ya Tunu?

Yuko wapi Tunu aliyeigiza Hukumu ya Tunu?

Grena

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
656
Reaction score
1,553
Habari zenu wakuu.

Kama sikosei mwaka 2008 kuna tamthilia ya kuelimisha jamii kuhusu Ukimwi, ilirushwa ITV iliitwa Hukumu ya Tunu. Ilikuwa maarufu Sana kwa kipindi kile.

Ilikuwa Tamthilia nzuri sana yenye kuelimisha, Star aliyebeba jina la Tamthilia mwanadada Tunu sijawahi muona akiigiza sehemu nyingine yoyote baada ya Hukumu ya Tunu kuisha.

Kwa wanayefahamu Tunu alienda wapi? Na kwenye social media anatumia jina gani.

I miss her alot anakipaji na Ilikuwa bonge la Tamthilia.
 
Kuna tamthilia inaruhwa dstv sijui ni Maisha nagic bongo au East inaitwa tunu. Napenda wimbo wake can you help me please [emoji849]
Mkuu siku hizi sijui nimezeeka ama vipi. Sio mfuatiliaji wa Tamthilia enzi zangu ningejua Tamthilia za channel zote. Hiyo Tunu ya maisha magic bongo/East siijui.
 
Naikumbuka hiyo, Tunu alivyoliwa kimasihara mara1 tu akapata ukimwi, yule jamaa yake yupo anaigiza ila kumbukumbu ya tunu inanitoka ila nahisi kama yule binti aliigiza siri ya mtungi bado nafanya kumbukumbu
 
Hapana sio yule aliyeigiza Siri ya mtungi Tunu Ni mwingine. Nakumbuka baada ya Hukumu ya Tunu nlimuonaga Tena anahojiwa na FEMA Tv talk show lakini kwenye maigizo hayupo kabisa.

Halafu alioigiza nao Kama yule Kaka aliyemla kimasihara, yule mama aliyeigiza mama yake, Yule Bibi aliyeigiza Bibi yake tuliwajulia pale. Lakini Hadi Leo bado wanatrend kwenye bongo movie.
 
Ivi naomba nikumbishwe ndo ile kuna sehemu alitoroka kijijini sijui akaja mjini
 
Ivi naomba nikumbishwe ndo ile kuna sehemu alitoroka kijijini sijui akaja mjini
Kama sikosei alipata Ukimwi Wazazi wakamfukuza akaenda kijijini kwa Bibi yake. Huko nako full unyanyapaa
 
Habari zenu wakuu.

Kama sikosei mwaka 2008 kuna tamthilia ya kuelimisha jamii kuhusu Ukimwi, ilirushwa ITV iliitwa Hukumu ya Tunu. Ilikuwa maarufu Sana kwa kipindi kile.

Ilikuwa Tamthilia nzuri sana yenye kuelimisha, Star aliyebeba jina la Tamthilia mwanadada Tunu sijawahi muona akiigiza sehemu nyingine yoyote baada ya Hukumu ya Tunu kuisha.

Kwa wanayefahamu Tunu alienda wapi? Na kwenye social media anatumia jina gani.

I miss her alot anakipaji na Ilikuwa bonge la Tamthilia.

Mama yake anatumia hidaya njaidi mwanaume aliyetembea nae davi yeye na mama yake
Tino nae alikuwepo

Kitambo sana
 
Yellow card ndio niliipenda ile movie ya zimbabwe.

YC.jpg
 
Mama yake anatumia hidaya njaidi mwanaume aliyetembea nae davi yeye na mama yake
Tino nae alikuwepo

Kitambo sana
Kitambo Sana mkuu.
Mama Tunu na kile kibenten Tino, Kuna scene baada ya Tino kumpa show ya kibabe anamwambia umenifanya nijisikie Kama sweet 16 [emoji23][emoji23][emoji23]huku anamuhonga Tino mihela.

Ila Tangu hidaya njahidi aitendee haki Hukumu ya Tunu kuigiza na kibenten Movie karibia zote anazoigiza wanampa character ya kuwa anatembea na vibenten
 
Back
Top Bottom